Makongo High School...!!!

Hahahaha mkuu umeniua.
 
Haa namkumbuka babu chacha alikuwa ananiudhi kweli..ananilove mikono inanuka nyama..
 
Haaa kuna siku yeyeye alitukimbiza na ile korando yake toka mwenge mpka makongo..siwezi kusahau halafu akanipa you mama form 4?which form ar u?nikaonaa hee leo kazi hipo..
 
......alikua a.k.a mabaga!!!!vipi mchakamchaka wa jmos......kitu mpk kwa mkullu wa majeshi ukidoji bruce anakuchana ------!!!au we'ulikua “kibito"?

Nilikimbia mara 2 tu nikaenda kufoji cheti niwe nalala.....mbona kuna siku kikanuka maana Kipingu mwenyewe alikimbia siku hiyo,Mbona nikaenda kujificha CHAMPION ingawa bweni langu lilikuwa tausi!!!!
 
Siso nilimkimbia muda sasa,kwa wale wa bweni mnamkumbuka master scout,jamaa alikuwa mnoko mbaya

Alikuwa beneti na afande miraji pia......yaani nilishawahi kugombana nae nisura tuzirushe kisa niligombana na Ahmed/Hemed ambae alikuwa kaka wa Bweni na kama nilimuona ITV kawa mwandishi wa habar.
Watu walijaa pale mess mpaka wanya bia za 500 pale karibu na mess wakaja mtiti mkali ulikuwa!!!
 
Nilikimbia mara 2 tu nikaenda kufoji cheti niwe nalala.....mbona kuna siku kikanuka maana Kipingu mwenyewe alikimbia siku hiyo,Mbona nikaenda kujificha CHAMPION ingawa bweni langu lilikuwa tausi!!!!

Vibito=wagonjwa walikua hawaguswi!!!!....unakumbuka kuna dogo alimkwatua mtama mzee kisarika then akala kunjo?
 
Hahaha mmenikumbusha mbali sana kipindi kile tulikua na zamu j3 sa tulikua tunabishana mipira ya wknd tu badala ya kufanya zamu sa afande miraji akatuona alitupiga biti sasa kuanzia wiki ijayo nikimkuta mtu anasimulia mpira yule anaesimulia anainama halaf yule mwenzake anampiga shuti matakon halaf wote mnashangilia goaal.
 
Hahaha, wewe mbabe wa ununio sio?
 
Haaa kuna siku yeyeye alitukimbiza na ile korando yake toka mwenge mpka makongo..siwezi kusahau halafu akanipa you mama form 4?which form ar u?nikaonaa hee leo kazi hipo..

Heheh alaf babu chacha alikuaga ana tabia ya kushika mawowo wanafunzi wa kike.
 
Haaa kuna siku yeyeye alitukimbiza na ile korando yake toka mwenge mpka makongo..siwezi kusahau halafu akanipa you mama form 4?which form ar u?nikaonaa hee leo kazi hipo..

....mkuu,kuna yule dada zawadi wa misosi akiwa anasevu mesini ukimsalimia afu ukamsifia basi wali bwena!j3 mchana mixa kuku alikua anantupia vipapatio ila baada ya kumpa sifa nlikua nachekelea na chicken thighs!
 
Mnaukumbuka mti mademuuu.......je mti mawazo,mambo ya santorini?R.I.P taichi.
 
...aaahh weeeh,late Miraji alikua mwiba!alimkandamiza mwana konzi mpk akasahau jina alivoulizwa anaitwa nani!!!kuna siku assembly alitishia kuwaotesha majipu wachafuzi wa vyoo akawapa muda.......ile kufika ngoma za saa nne toilets zote zilikua clean!!!nadhani kila mhusika alienda kutoa mzigo wake!!!!
 
Hii shule ipo kwenye list ya shule zinazo fanya vizuri? mmh hayaa napitaa

Nenda tuuu.........ila uwe unasoma post uielewe.......mpost kaandika ZILIZOFANYA vizuri na sio zinazofanya!
 
Unamkumbuka afande bruce?, (yule mzee wa kule bweni)?, halafu huyo Hemed si alikuwa mweupe fulani hivi halafu mnoko mnoko?

Na kule mess kulikuwa na jamaa (jina limenitoka) alikuwa aki-mark sura ajabu, yani ukipita kurudia msosi lazima akunase.
 
Hivi......wako wapi kina so much,makumaku,mtoro,mama mchwa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…