Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Mji mdogoMakongolosi ni mji ama kijiji?
Naunga mkono hojaMakongolosi..
Huu Mji sasa inabidi ushushwe hadhi usiwe "Mamlaka ya Mji Mdogo"
Kiwe ni Kijiji kichafu tu
Umekosea Iko Mbeya mkuuMakongoro ipo mkoa mpya wa songwe sio mbeya kama sijakosea
Ndio imezidi mkuuKwani hakuna mabadiliko?
Makongolosi mji mchafu mpaka unakera
Makongolosi ni mji mdogo unaopatikana mkoa wa mbeya wilaya ya Chunya. Ukweli mji huu kwa uchafu umekithiri si ajabu kukuta michupa ya maji na juice katikati ya mji na mitakataka kibao. Mbaya zaidi Kuna mtaa ukipita barabara ya Mbalawata sio ajabu kukuta masalia ya taka ngumu kutoka zahanati...www.jamiiforums.com
Bado ipo Mbeya, wilaya ya Chunya mkuu.Makongoro ipo mkoa mpya wa songwe sio mbeya kama sijakosea