Makongoro hapa ulikurupuka

Makongoro hapa ulikurupuka

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere hapa ulikurupuka kusema baadhi ya viongozi walichochea vurugu sio kweli. Ukiwa Kiongozi ni muhimu kutumia burasa na kuchunga kinywa chako Mbele ya Kamera.

TIZAMA kipande cha video arafu tujiulize UCHOCHEZI UPO WAPI?

Wala haja kurupuka, Makongoro hakai mtaani. Hizo ni taarifa alipewa. Na aliagiza polisi wazifuatilie. Kama zitakuwa za kweli mswekwe ndani. Sasa mna anza kuhaha kabla polisi hawaja kufikia? Subiri kidogo maji yachemke.
 
Alikurupuka kwa kuwa yule mama naibu wazir ni bosi wake.Hawezi kumtuhumu waziwazi.Pia anatetea wahindi ambao wanaondoa wananchi.Sio sawa.
 
Watoto wa nyerere huwa hawako timam
 
Huyo mhindi ana hati?
Hii ndio migogoro inayotengenezwa na watumishi wa ardhi.Watu wapo kwenye eneo zaid ya miaka 70 unaliuza bila consent ya wananchi.Baadae wananchi walisema mbona tupo hapa muda mrefu.Unaswma ni migogoro.Ujinga mtupu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere hapa ulikurupuka kusema baadhi ya viongozi walichochea vurugu sio kweli. Ukiwa Kiongozi ni muhimu kutumia burasa na kuchunga kinywa chako Mbele ya Kamera.

TIZAMA kipande cha video arafu tujiulize UCHOCHEZI UPO WAPI?

Mako akishafakamia K vant zake anakuwa mwehu
 
Back
Top Bottom