Wala haja kurupuka, Makongoro hakai mtaani. Hizo ni taarifa alipewa. Na aliagiza polisi wazifuatilie. Kama zitakuwa za kweli mswekwe ndani. Sasa mna anza kuhaha kabla polisi hawaja kufikia? Subiri kidogo maji yachemke.Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere hapa ulikurupuka kusema baadhi ya viongozi walichochea vurugu sio kweli. Ukiwa Kiongozi ni muhimu kutumia burasa na kuchunga kinywa chako Mbele ya Kamera.
TIZAMA kipande cha video arafu tujiulize UCHOCHEZI UPO WAPI?
Alikurupuka kwa kuwa yule mama naibu wazir ni bosi wake.Hawezi kumtuhumu waziwazi.Pia anatetea wahindi ambao wanaondoa wananchi.Sio sawa.Wala haja kurupuka, Makongoro hakai mtaani. Hizo ni taarifa alipewa. Na aliagiza polisi wazifuatilie. Kama zitakuwa za kweli mswekwe ndani. Sasa mna anza kuhaha kabla polisi hawaja kufikia? Subiri kidogo maji yachemke.
Alikurupuka kwa kuwa yule mama naibu wazir ni bosi wake.Hawezi kumtuhumu waziwazi.Pia anatetea wahindi ambao wanaondoa wananchi.Sio sawa.
Hii ndio migogoro inayotengenezwa na watumishi wa ardhi.Watu wapo kwenye eneo zaid ya miaka 70 unaliuza bila consent ya wananchi.Baadae wananchi walisema mbona tupo hapa muda mrefu.Unaswma ni migogoro.Ujinga mtupu.Huyo mhindi ana hati?
Mako akishafakamia K vant zake anakuwa mwehuMkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere hapa ulikurupuka kusema baadhi ya viongozi walichochea vurugu sio kweli. Ukiwa Kiongozi ni muhimu kutumia burasa na kuchunga kinywa chako Mbele ya Kamera.
TIZAMA kipande cha video arafu tujiulize UCHOCHEZI UPO WAPI?