Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mzee wa roundHuyu bwana hana makuu na mtu namtakia kila la kheri...
Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya ubunge jimbo hilo.
View attachment 1506673
Hahahaaaaaaa! Yaani ni balaaaSiasa zimejaa uongo na wizi
Mlevi mbwaMtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya ubunge jimbo hilo.
View attachment 1506673
Mako, Mako, Mako, Makongoro baba yangu mwana wa baba wa Tanzania, mjukuu wa Burito.Uyu ata mimi ninge mpigia kura! Wasiraa yumooo!
Unahisi walevi hawana akili uyu na Rais wa kenya wana tofauti gani! Jamaa alitakiwa kuwa Rais siyo mbunge! Ana weza 100% kufanya mambo makubwa kuliko jiwe!Mlevi mbwa