The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hata Baba yake alikuwa na mizaha kama yake...Huu sio aina ya utani unatakiwa kufanywa na kiongozi wa hadhi yake mbele ya umma
Inawezakana huyu jamaa hakujua kipaji chake mapema aisee. Ana vituko mpaka mbasi.
Mara moja moja anatakiwa atokee kwenye stage ya Cheka tu kama badhi ya watu maarufu wanavyofanya Kenya kwenye Stand-up comedy za Churchill Show etc.
View attachment 3165196
View attachment 3165197
Hii furaha inalipiwa kuipata, hongera zake na inaongeza siku za kuishi.Inawezakana huyu jamaa hakujua kipaji chake mapema aisee. Ana vituko mpaka mbasi.
Mara moja moja anatakiwa atokee kwenye stage ya Cheka tu kama badhi ya watu maarufu wanavyofanya Kenya kwenye Stand-up comedy za Churchill Show etc.
View attachment 3165196
View attachment 3165197
Kwa kweli leo nilikuwa sijacheka, ila jamaa kanivunja mbavu. Hata stress zinaondoka.Mtu muungwana sana
Kila mtu ameumbwa tofauti. Kuna Sanguin , choleric, nk. Kuwa Kiongozi haimuondolei kufurahi na watu ili mradi hajavunja sheria.Sa si akaungane na kina ndaro(mjeshi kikofia) na leonado
Jaribu kutabasamu siku nzima ume nuna domo lita nukaHuu sio aina ya utani unatakiwa kufanywa na kiongozi wa hadhi yake mbele ya umma
Hebu niambie, awavunje bavu watu wake, then atoe maagizo nani atapinga?Kwa kweli leo nilikuwa sijacheka, ila jamaa kanivunja mbavu. Hata stress zinaondoka.
KabisaHata Baba yake alikuwa na mizaha kama yake...
Lakini alilifanyia Taifa mambo ya kukumbukwa hadi leo...
Hapana, baba yake hakuwa na mizaha kama yake.Hata Baba yake alikuwa na mizaha kama yake...
Lakini alilifanyia Taifa mambo ya kukumbukwa hadi leo...
Hapana, baba yake hakuwa na mizaha kama yake.