Makongoro Nyerere ni Bonge la Comedian

Makongoro Nyerere ni Bonge la Comedian

Huyu
Inawezakana huyu jamaa hakujua kipaji chake mapema aisee. Ana vituko mpaka mbasi.

Mara moja moja anatakiwa atokee kwenye stage ya Cheka tu kama badhi ya watu maarufu wanavyofanya Kenya kwenye Stand-up comedy za Churchill Show etc.

View attachment 3165196
View attachment 3165197
Jamaa anaishi maisha yake vizuri tu hana kinyongo na mtu yeye ni kufurahia tu ila unakuta kuna mtu anamchukia. Hizi chuki zingine ni zaidi ya magonjwa ya akili.
 
Huu sio aina ya utani unatakiwa kufanywa na kiongozi wa hadhi yake mbele ya umma
Maisha ni mafupi,acha afurahie bwana,Mimi ndani ya siku 20 mwezi huu nimepoteza watu wangu wa karibu watatu,Ngozi ya Simba ukimvika ng'ombe,huyo ng'ombe hawezi kuwa Simba. Furaha ni asili ya makongoro,uongozi ni ngozi tu aliyovikwa ila ataendelea kuwa na asili yake.
 
Itakua mkuu japo ni ngumu mno mtoto kuwa kama baba yake kwa 100%
Kuna ile hata kukaribia au kuzidi ndio maana unaona hata mzee makamba katengeneza royal family hata kama hakuwa na platform kubwa sana. Ila kwa Nyerere ni kwamba alikuwa busy na Tanganyika hadi akajisahau

Ila tusiongee sana maana maisha bado ni marefu na Mungu asije kunipa jibu kupitia kizazi changu walahi 😁😁😁
 
Hakuna jibu mkuu , ila mara nyingi mtoto anaweza athiriwa na mazingira ya malezi pia
 
Hivi Bado ni RC tu, makubwa. Nakubaliana na mleta Uzi kuwa huyu jamaa ni comedian haswa, I remember him kwenye official meeting Moja nilikuwa naye Babati akiwa R.C wa Manyara, yaani ni full utani na vichekesho especially Kwa ile jinsia.
Kwa kweli 😃
 
Back
Top Bottom