Makope, marangi, makucha, na makatani ya wanawake

Makope, marangi, makucha, na makatani ya wanawake

Nadhani mleta mada hakumaanisha mwanamke asijipambe.
Mwanamke lazima ajipambe ila tatizo linakuja unajipambaje na materials unazotumia.
Bado sijaona ubaya wa urembo alotaja, vyote vinamfanya mwanamke apendeze
 
chaaaa jamani, mtu ba starehe zake inakukeraje?
 
Back
Top Bottom