Ndio ukristo haujuw watoto wavae mavaz gan kwan huvaa vimini kwenye makanisa sasa nimeshindwa kusema ukristo kwa kuwa wao ndio hubomoa maadiliUmefundisha vzr japo ingekuwa vema kama ungesema mtoto afundishwe Dini (pasipo kutaja dini gani) ili kuonesha dini ina nafasi kubwa kwenye malezi. Kwa kutaja dini moja umeonesha Dini zingine hazitoi mafundisho kwa watoto.
Philips X2560
Kwani Tanzania kuna Ukristo na Uislam pekee...Ndio ukristo haujuw watoto wavae mavaz gan kwan huvaa vimini kwenye makanisa sasa nimeshindwa kusema ukristo kwa kuwa wao ndio hubomoa maadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema dhambi namaanisha mafunzo ya dini kumuongoza mtu katika biblia nzima tangu kitabu cha kwanza cha musa kiitwacho mwanzo hadi ufunuo hakuna aya inasema wakristo wavae mavaz gan ndio maana waislamu wanaofuata kitabu na amri zake wanajihifadhiKwani Tanzania kuna Ukristo na Uislam pekee...
Kusema ukristo hubomoa maadili sio kweli,na kigezo cha mavzi nacho sio kweli mbn kwenye jamii zetu Dini zote huvaa vimini,na wote hutenda dhambi au Waislam hamtendi dhambi?
Philips X2560
Msomi wa Dini ya kiislam au? Msomi gan unaonesha udin?Sijasema dhambi namaanisha mafunzo ya dini kumuongoza mtu katika biblia nzima tangu kitabu cha kwanza cha musa kiitwacho mwanzo hadi ufunuo hakuna aya inasema wakristo wavae mavaz gan ndio maana waislamu wanaofuata kitabu na amri zake wanajihifadhi
alafu unaongea na msomi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa bora asiyefuata kuliko asiye na muongozo kwan sisi binadamu tuna mapungufu kwenye futuata sheria za mola wapo wanaofaufulu na wanaoshindwa na kwa sababu hii ndio Mungu akaumba pepo na motoMsomi wa Dini ya kiislam au? Msomi gan unaonesha udin?
Nimezunguka sana,hata mikoa ambayo dini ya kiislamu imedominate na nimeona mavazi mnayovaa nd kuna tofauti kati ya kuandika kwenye kitabu na kufuata,kama mnawafundisha bas jua kabsa wakija mtaani hawafuati mlichowafundisha.
Philips X2560
Sijakashifu nafundisha wewe kuambiwa dini hii sio ya sawa sio kashfa
Sio udini wewe aliyekwambia ukristo ni dini ni nan hebu tuache kashfa tuzungumze kwa hojaHuna lolote Mnafiki wewe zaidi ya Udini tu.
Lete aya inasema ukisto ni dini alafu mm nilikuwa mhubil mkubwa sana wa kikirsto baada ya kuona kuwa kunaubabaishaji nikajivuaHuna lolote Mnafiki wewe zaidi ya Udini tu.
Angetoa hilo neno moja tu...namba sita ingekuwa bora zaidi!Umesema vyema ila hiyo namba 6, ina shida kidogo.
Sio udini wewe aliyekwambia ukristo ni dini ni nan hebu tuache kashfa tuzungumze kwa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nalitambua hlo nikakwambia kwa kigezo chako cha mavazi,wote hushindwa kujisitili,wote huvaa vimin kama usemavyo.Sasa bora asiyefuata kuliko asiye na muongozo kwan sisi binadamu tuna mapungufu kwenye futuata sheria za mola wapo wanaofaufulu na wanaoshindwa na kwa sababu hii ndio Mungu akaumba pepo na moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete aya inasema ukisto ni dini alafu mm nilikuwa mhubil mkubwa sana wa kikirsto baada ya kuona kuwa kunaubabaishaji nikajivua
Sent using Jamii Forums mobile app