Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

Kuna vionjo vya msikitini!
Astagafirulah!! astagafirulah!!
 
Umefundisha vzr japo ingekuwa vema kama ungesema mtoto afundishwe Dini (pasipo kutaja dini gani) ili kuonesha dini ina nafasi kubwa kwenye malezi. Kwa kutaja dini moja umeonesha Dini zingine hazitoi mafundisho kwa watoto.

Philips X2560
Ndio ukristo haujuw watoto wavae mavaz gan kwan huvaa vimini kwenye makanisa sasa nimeshindwa kusema ukristo kwa kuwa wao ndio hubomoa maadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ukristo haujuw watoto wavae mavaz gan kwan huvaa vimini kwenye makanisa sasa nimeshindwa kusema ukristo kwa kuwa wao ndio hubomoa maadili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Tanzania kuna Ukristo na Uislam pekee...
Kusema ukristo hubomoa maadili sio kweli,na kigezo cha mavzi nacho sio kweli mbn kwenye jamii zetu Dini zote huvaa vimini,na wote hutenda dhambi au Waislam hamtendi dhambi?

Sijasema dhambi namaanisha mafunzo ya dini kumuongoza mtu katika biblia nzima tangu kitabu cha kwanza cha musa kiitwacho mwanzo hadi ufunuo hakuna aya inasema wakristo wavae mavaz gan ndio maana waislamu wanaofuata kitabu na amri zake wanajihifadhi

alafu unaongea na msomi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukulia wakristo ameambiwa wapi kwenye biblia wavae vizur ? Hii inatosha kuwa ushahidi kuwa hawana maadili ya kimaaandiko hebu kama kuna mmoja anauwezo atuonyeshe unajuwa kinachomuongoza mtu ni dini sasa dini ikikosa muongozo ni mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema dhambi namaanisha mafunzo ya dini kumuongoza mtu katika biblia nzima tangu kitabu cha kwanza cha musa kiitwacho mwanzo hadi ufunuo hakuna aya inasema wakristo wavae mavaz gan ndio maana waislamu wanaofuata kitabu na amri zake wanajihifadhi

alafu unaongea na msomi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi wa Dini ya kiislam au? Msomi gan unaonesha udin?
Nimezunguka sana,hata mikoa ambayo dini ya kiislamu imedominate na nimeona mavazi mnayovaa nd kuna tofauti kati ya kuandika kwenye kitabu na kufuata,kama mnawafundisha bas jua kabsa wakija mtaani hawafuati mlichowafundisha.

Sasa bora asiyefuata kuliko asiye na muongozo kwan sisi binadamu tuna mapungufu kwenye futuata sheria za mola wapo wanaofaufulu na wanaoshindwa na kwa sababu hii ndio Mungu akaumba pepo na moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilijua tu kuwa hiyo namba 6 italeta shida maana inaanza kuonekana kama muhadhara tena boss
 
Sasa bora asiyefuata kuliko asiye na muongozo kwan sisi binadamu tuna mapungufu kwenye futuata sheria za mola wapo wanaofaufulu na wanaoshindwa na kwa sababu hii ndio Mungu akaumba pepo na moto

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nalitambua hlo nikakwambia kwa kigezo chako cha mavazi,wote hushindwa kujisitili,wote huvaa vimin kama usemavyo.
Na ungeujua ukristo vizuri usingesema biblia haifunzi kwa habri ya kutunza miili/Hekalu la Mungu.

Philips X2560
 
Lete aya inasema ukisto ni dini alafu mm nilikuwa mhubil mkubwa sana wa kikirsto baada ya kuona kuwa kunaubabaishaji nikajivua

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani amezungumzia kuwa Ukristo ni dini?Sasa umeonyesha kabisa nia ya Mada yako ilikuwa ni kuattack Ukristo.Pole sana maana Wakristo hawanaga huo mda wa kumtetea Mungu wao maana anajitetea mwenyewe,huwa hatetewi kama huyo wenu.
 
Back
Top Bottom