Ndelyaukiwa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 267
- 347
Kama kuchinja siku hiz wakristo mnaongozaYan mnajifanya nyie ndo binadamu tu,wengine vinyago!!Dini ya kweli siyo kujilipua na kuchinja wasiyo na hatia.Dini ya kweli ni kusaidia wenye shida,kuwajali wajane na yatima.

Hujielewi weweSijakashifu nafundisha wewe kuambiwa dini hii sio ya sawa sio kashfa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana umechanganyikiwa kumbe,unatapatapa tu na badoLete aya inasema ukisto ni dini alafu mm nilikuwa mhubil mkubwa sana wa kikirsto baada ya kuona kuwa kunaubabaishaji nikajivua
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan mnajifanya nyie ndo binadamu tu,wengine vinyago!!Dini ya kweli siyo kujilipua na kuchinja wasiyo na hatia.Dini ya kweli ni kusaidia wenye shida,kuwajali wajane na yatima.
Yan mnajifanya nyie ndo binadamu tu,wengine vinyago!!Dini ya kweli siyo kujilipua na kuchinja wasiyo na hatia.Dini ya kweli ni kusaidia wenye shida,kuwajali wajane na yatima.
Mukishindwa hoja mnaanza vimatus si ndio maana mm nikaleta mada ya malezi unaona ulivyokosa adabu ?
Hii tabia imeshamiri kwa WachaggaAu kusema kwa kuwa wewe ni mtoto wa kiume basi wewe ni wa kwangu na watoto wa kike ni wa mama.
Hawa nao wanaongozwa na nini si wakristo hawa ?
Hawa nao wanaongozwa na nini si wakristo hawa ?
Iman bila maandiko ?Huna jipya kila mtu na imani yake aisee ,simamia unachoamini bt usiwakwaze wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli unakosa busara za kukiri kuwa hapo kwenye namba 6 umekuwa mbaguzi?Mukishindwa hoja mnaanza vimatus si ndio maana mm nikaleta mada ya malezi unaona ulivyokosa adabu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajifunza kuandika au ? Mimi ni shoga kivipi ? Mimi sikuzoooote huwa ha sema mkiristo akikosa aya ya kuthibitisha ananza matusi hebu fuatilia koment zangu kama nimetukana pole sanaUkibishana na shoga utakuwa shoga.Ngoja nikuache maana unavyopost huku inaonyesha tu hata iyo post yako ya kwanza ulikuwa unatafuta pa kuanzia.Basi Uislamu ndo dini pendwa,haya umeridhika sasa shoga wewe.
Hivi kweli unakosa busara za kukiri kuwa hapo kwenye namba 6 umekuwa mbaguzi?
Au kweli lengo lako ulitaka mjadala Wa kidini?
Uzi mzuri kabisa ila kwa kuingiza udini kubali umeharibu hata kile kidogo tulichotamani kujifunza!
Mungu hana dini, dini mnazo nyie wanadamu mnaobaguana wenyewe kwa wenyewe! Mungu hana ubaguzi ndio maana kaumba viumbe vingi ulivyoweza hata kujua idadi yake!
Suala la dini lisitubague, sisi wote hakuna aliyefanya makubaliano na Mungu ili ndio azaliwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hana dini kwel kwasababu yeye aabudi sisi ndio tunaabudu sasa katika huku kuabudu akatuchagulia dini ya kiislamHivi kweli unakosa busara za kukiri kuwa hapo kwenye namba 6 umekuwa mbaguzi?