Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

Hii mada yako imepoteza ladha mahala fulani nimeishia hapohapo ,, yan hawa waafrica wanaobaguliwa na waarabu wanajikutaga wanbagua waafrica wenzao kwa uzwazwa wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan mnajifanya nyie ndo binadamu tu,wengine vinyago!!Dini ya kweli siyo kujilipua na kuchinja wasiyo na hatia.Dini ya kweli ni kusaidia wenye shida,kuwajali wajane na yatima.
Kama kuchinja siku hiz wakristo mnaongoza

744adafc815e5cdb225fda7208adbde1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu si gaidi jaman au

Yan mnajifanya nyie ndo binadamu tu,wengine vinyago!!Dini ya kweli siyo kujilipua na kuchinja wasiyo na hatia.Dini ya kweli ni kusaidia wenye shida,kuwajali wajane na yatima.

Yan mnajifanya nyie ndo binadamu tu,wengine vinyago!!Dini ya kweli siyo kujilipua na kuchinja wasiyo na hatia.Dini ya kweli ni kusaidia wenye shida,kuwajali wajane na yatima.
bbf1ed598143793bceb258ab3ffa7d28.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mukishindwa hoja mnaanza vimatus si ndio maana mm nikaleta mada ya malezi unaona ulivyokosa adabu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli unakosa busara za kukiri kuwa hapo kwenye namba 6 umekuwa mbaguzi?

Au kweli lengo lako ulitaka mjadala Wa kidini?

Uzi mzuri kabisa ila kwa kuingiza udini kubali umeharibu hata kile kidogo tulichotamani kujifunza!

Mungu hana dini, dini mnazo nyie wanadamu mnaobaguana wenyewe kwa wenyewe! Mungu hana ubaguzi ndio maana kaumba viumbe vingi ulivyoweza hata kujua idadi yake!

Suala la dini lisitubague, sisi wote hakuna aliyefanya makubaliano na Mungu ili ndio azaliwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukibishana na shoga utakuwa shoga.Ngoja nikuache maana unavyopost huku inaonyesha tu hata iyo post yako ya kwanza ulikuwa unatafuta pa kuanzia.Basi Uislamu ndo dini pendwa,haya umeridhika sasa shoga wewe.
Wewe unajifunza kuandika au ? Mimi ni shoga kivipi ? Mimi sikuzoooote huwa ha sema mkiristo akikosa aya ya kuthibitisha ananza matusi hebu fuatilia koment zangu kama nimetukana pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli unakosa busara za kukiri kuwa hapo kwenye namba 6 umekuwa mbaguzi?

Au kweli lengo lako ulitaka mjadala Wa kidini?

Uzi mzuri kabisa ila kwa kuingiza udini kubali umeharibu hata kile kidogo tulichotamani kujifunza!

Mungu hana dini, dini mnazo nyie wanadamu mnaobaguana wenyewe kwa wenyewe! Mungu hana ubaguzi ndio maana kaumba viumbe vingi ulivyoweza hata kujua idadi yake!

Suala la dini lisitubague, sisi wote hakuna aliyefanya makubaliano na Mungu ili ndio azaliwe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu embu muelimishe huyo Mpumbavu aliyeeenda shule lakini bado anafikiria kwa kutumia makalio.
 
Hivi kweli unakosa busara za kukiri kuwa hapo kwenye namba 6 umekuwa mbaguzi?

Au kweli lengo lako ulitaka mjadala Wa kidini?

Uzi mzuri kabisa ila kwa kuingiza udini kubali umeharibu hata kile kidogo tulichotamani kujifunza!

Mungu hana dini, dini mnazo nyie wanadamu mnaobaguana wenyewe kwa wenyewe! Mungu hana ubaguzi ndio maana kaumba viumbe vingi ulivyoweza hata kujua idadi yake!

Suala la dini lisitubague, sisi wote hakuna aliyefanya makubaliano na Mungu ili ndio azaliwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hana dini kwel kwasababu yeye aabudi sisi ndio tunaabudu sasa katika huku kuabudu akatuchagulia dini ya kiislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom