Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

Mkuu embu muelimishe huyo Mpumbavu aliyeeenda shule lakini bado anafikiria kwa kutumia makalio.
Swali.Je,Yesu anajuwa kila kitu ?.


Ikiwa Yesu anajuwa kila kitu kwa nini alishindwa kujuwa siku ya mwisho ?.

Mathayo 24:36.

“Kuhusu siku ile na saa ile hakuna mtu anayejua,wala malaika wa mbinguni wala Mwana, ila Baba tu".


Kwa kauli hii Yesu anakosa Sifa ya uungu.

Je,ni nani anaejuwa siku ya mwisho ?.

[emoji116][emoji116][emoji116]

Sura Al-Faatiha 1:2-4

2.Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu,Mola Mlezi wa viumbe vyote;

3.Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;

4.Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No wonder, uzi mzuri lakini umepata 4 likes only.
 
Mungu hana dini kwel kwasababu yeye aabudi sisi ndio tunaabudu sasa katika huku kuabudu akatuchagulia dini ya kiislam

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi ni mzur ila huu uzumbukuku wa kidin hauna mantiki kabisa hakuna aliye kufa akarud kuja kusema dini flan ni bora kuliko nyingine tuheshimiane tuishi vzr hata kama naabudu mchanga bado sion sababu ya kubishania uborA wa dini, naamin hata ww umeikuta hyo dini isingekuwepo ungelisema nn??? Tuheshimiane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu

Al-Baqara (208).

Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazo.

Grpoup la dini ya kiislam.

Masomo tunayosoma.


[emoji117]Mbinu za Kujadiliana na makafir.

Njoo uone Quran inavyojibu hoja za
Makafir zilizoko ndani ya biblia.

[emoji117]Tawhid.

[emoji117]Aqida.

[emoji117]Fiqih.

Pia utajifunza faida mbalimbali za dini ya Kiislam.


Masharti ya Group.

1.Ni marufuku Kutuma kitu chochote zaidi.
ya kuuliza maswali.

2.Ni marufuku kuweka picha za Ajabu kwenye profile.

3.Migogoro ya Ki-itikadi hairuhusiwi.

4.Lugha nzuri na kuheshimiana ni muhimu.

Mgeni ukifika Ni lazima ujitambulishe.

Jina lako na sehemu Ulipo.


Gusa link uingie darasani. [emoji116][emoji116][emoji116]

"DINI NI NASAHA".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mbna unakuwa mjinga kiasi hicho kwani mudi alivyombaka yule binti wa miaka 9 kuna mtu amewakashifu au kudharau dini yenu pamoja na huo ubakaji uliofanywa na mudi, kuwa na heshima kijana tunavumiliana kwa mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba sita imefanya uonekane fala! Too bias!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…