docta seifu dodoma
Member
- Aug 11, 2017
- 61
- 78
- Thread starter
- #61
Swali.Je,Yesu anajuwa kila kitu ?.Mkuu embu muelimishe huyo Mpumbavu aliyeeenda shule lakini bado anafikiria kwa kutumia makalio.
Ikiwa Yesu anajuwa kila kitu kwa nini alishindwa kujuwa siku ya mwisho ?.
Mathayo 24:36.
“Kuhusu siku ile na saa ile hakuna mtu anayejua,wala malaika wa mbinguni wala Mwana, ila Baba tu".
Kwa kauli hii Yesu anakosa Sifa ya uungu.
Je,ni nani anaejuwa siku ya mwisho ?.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Sura Al-Faatiha 1:2-4
2.Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu,Mola Mlezi wa viumbe vyote;
3.Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
4.Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
Sent using Jamii Forums mobile app