Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

Uzi mzuri Ila umechemka kwenye namba 6 ..... Umejiharibia marks -60 kwa point moja ..... Fikiri kwanza
 
Uzi wako ungeupeleka jukwaa la dini tena ungesema waislam tuu,.Tanzania hatuna udini wala ukabila sasa sijui ww wa nchi gani..
 
asante ,somo zuri ila ungeandika pale juu maalumu kwa waislamu wenzangu

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 



Mimi sio gaidi ila kuna mkristo alichokifanya sio kizur nafikiri huyu sasa ndio gaid

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu mkristo mmoja kufanya hivi ndio unatuhukumu wote

je hakuna waislamu ambao wanafanya matukio hayo??

doctor mbona naanza kuona toafuti ya uzi wako na wasifu wako

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
nilijua tu kuwa hiyo namba 6 italeta shida maana inaanza kuonekana kama muhadhara tena boss
Na nahisi hii ndio target yake

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
nimegundua wewe ni mbulula tena wa kutupwa, kanye mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…