asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Uzi mzuri Ila umechemka kwenye namba 6 ..... Umejiharibia marks -60 kwa point moja ..... Fikiri kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio dini ya kiislam ndio dini ya haki wewe mwenye siunaona huna maadili umevaa chup mtandaoni ? Hebu cheki hii na uvutiwe
Ndio dini ya kiislam ndio dini ya haki wewe mwenye siunaona huna maadili umevaa chup mtandaoni ? Hebu cheki hii na uvutiwe![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifujzeni kwa picha sio hadi maandishi uislam ndio unafundisha mavaz ila akiingia mzungu wa kikiristo huo mfumo lazima upotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan mifano unayo itoa haiendani kabisa. Sasa hapo wameandika kuwa hao ni wakristo.? Au kuna kielelezo gani hapo
Mada uliyo ileta ni nzuri. Ila kama hili ndio lengo lako umesha iharibu. Udokta wako una ukakasi km uwezo wa kufikiri umeishia hapaLeo nakat niwaumize vichwa tu hahaha dini Ni uislam tuuuuu din nyingi sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuchagulia we na nani.?Mungu hana dini kwel kwasababu yeye aabudi sisi ndio tunaabudu sasa katika huku kuabudu akatuchagulia dini ya kiislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Shut the hell up, you piece of shit! Usinitibue na udini wako!
Kwa nn mnafuga Majin, mapepo?? Kama sio magaidi?![]()
Mimi sio gaidi ila kuna mkristo alichokifanya sio kizur nafikiri huyu sasa ndio gaid
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu mkristo mmoja kufanya hivi ndio unatuhukumu wote![]()
Mimi sio gaidi ila kuna mkristo alichokifanya sio kizur nafikiri huyu sasa ndio gaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha uzi wako kisha hapo kwenye no6 weka chochote utakacho...!Umesema vyema ila hiyo namba 6, ina shida kidogo.
Na nahisi hii ndio target yakenilijua tu kuwa hiyo namba 6 italeta shida maana inaanza kuonekana kama muhadhara tena boss
umeona mkuu no 6 aijakaa saw....weka usawa bhana ..dini zote Zina mafundsho memaUmesema vyema ila hiyo namba 6, ina shida kidogo.