Makosa 4 aliyoyafanya Harmonize mpaka sasa

Wabongo kwakupenda uchambuzi wa vitu hatujambo
 
Naona tu kama umepanic
Sababu zako.zote hapo ni za kufikirika
Rajabu ameonesha uwezo.wa kuthubutu,ni muhumu sana kwa mwanaume kuwa na ubavu wa kuthubutu
Kuwa na viewers.milioni moja utube peke yake ni mtaji,atulize tu kichwa awafurahishe mashabiki wake
Hata Diamond alianzia sharobaro recotds
 
Kwangu mimi ni fahari kubwa kuona kijana niliyemlea na kumfundisha biashara anaamua kuondoka kwangu na kufungua biashara zake, hayo ndio maendeleo, hivyo tumuache harmo aendelee na maisha yake binafsi, ipo fursa labda kaiona, tumuache atembee kwa miguu yake mwenyewe kwa sasa.
 

Hata wewe kuijibu hii post unapoteza hiyo unayoiita timing, na wewe ukua uaache tu ushughulike na yako.
 
WABONGO TUNAPENDA WCB HATUPENDI MTU,NDO MAANA HAO HAO WALIOKUWA WANAMKUBALI HARMO LEO HAWAMPENDI ITATOKEA PIA KWA MWINGINE AKIJITOA....KUNA MTU HUMU ALIWAHI SEMA HAMPENDI KIBA ILA IKATOKEA AKIWA WCB ATAMPENDA SO YOU CAN SEE YOURSELF.......WABONGO TUNAPENDA TIMU HATUPENDI MPIRA NDO MAANA MCHEZAJI AKIHAMA TIMU ANACHUKIWA KISA KAHAMA TIMU YENYE MAPENZI KWAKO...SISI NDO WATANZANIA.
 
Hata brand name yake inanza na neno CHINGA... binafsi naona inabagua mashabiki
 
Umenena vyema.
 

hajaondoka kwa kiburi

naona mahaba yamezidi maji
 
Nawaza TU:

Kwani kuto kumfollow Ali kiba ni sehem ya mkataba wa WCB?
 
Kama kaamua kua Solo artist muacheni msimpangie... kwani WCB ni wakina nani?


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…