Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me siku zote nipo hivyo labda pale tunapotofautiana kimtazamo ndo maana unaona hivoTokea nikujua humu JF Leo ndo nimeona uki andika kitu Kisicho cha kishabiki✅✅✅
Jeezy wimbo gani umechanganya wewe? Huu hapaJeezy
Jeezy wimbo gani umechanganya wewe? Huu hapa
Kalagabaho acha niishie hapa.Jeezy unamfahamu ?
Naona tu kama umepanic1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao.
Baada ya Salam SK, kuongea, asilimia kubwa imeshaamini kua Harmo anaondoka WCB kwa jeuri. Kiburi, kujisikia na amekosa fadhila. Itamchukua muda sana kulifuta hili kwenye safari yake. Ukweli hua hauzungumzwi mara mbili.
2: Kumfolow Ali Kiba.
Bila shaka kichwani Harmonize anawaza ukubwa wake utakavyokua baada ya kuondoka WCB. Kwa vyovyote vile ili aupate ukubwa huo ni lazima apambane kusimama juu ya au kufika pale walipo Kiba na Diamond
Kufika hapo si kwa idadi ya watu wanaosikiliza ngoma zako ila ni kua na idadi kubwa ya watu wako wanaokuamini. Wasanii wengi wameua carear zao kwa kukosa uvumilivu wa kutengeneza mashabiki wao, wengi wamenasa kwenye mtego wa Kiba na Mondi. Ref Baraka da Prince, Rich Mavoko.
Kumfolow Kiba sasa ni ishara ya kutafuta huruma ya upande wa pili. Upande ambao unapambana na upande wa Diamond. Huku anaweza kupata nusu watakaomsapoti lakini lazima ajue kwa upande wa mashabiki wa WCB hakuna atakaemsapoti tena. Ameiweka rehani biashara yake!
3: Kujaribu kuacha 'kivuli chake WCB.' .
.
Ni vyema kuonekana bado anaipenda WCB, lakini kwa faida ya kazi yake na aina ya mashabiki tulionao, Harmo hatakiwi kuihusisha kazi yake na WCB. Kufanya hivyo huenda hili likawa kaburi lake kimuziki.
Kuna dhana ya unafki itaanza kumtafuna. Kama alifuta ile kusainiwa WCB, hakukuwa na ulazima wa kuacha neno WCB for Life kwenye Bio yake. Kwa lugha ya Salam SK, Harmo alianza kuivimvimbia menegament yake kabla ya kutoka. Hakuna anayejua nyuma ya kicheko cha Diamond, kuna nini.
.
.
4: Kutaka kuachia wimbo mpya haraka
Hili ni kosa kubwa sana. Saa chache baada ya Salam SK kuongea, Harmo amepost cover kua yuko mbioni kuachia ngoma. Hii ni tension mbaya sana anaitengeneza.
Kwa sababu ya presha ya hivi sasa, wako watakaoichukia kazi yake. Haijalishi ubora wake, Liko sikio litamkataa tu kwa kuonekana ana kiburi cha kushindana.
Iko dhana ya 'KIKI' pia inaweza kuingia. Akaonekana mtu wa drama za mitandao. Hii ni mbaya sana.
NB: Pengine Harmo hajajua kua ni ngumu kuitofautisha WCB na Diamond. Ajipange kwa yote.
Kwanini mnachukulia haya mambo kwa mtazamo wa chuki aisee. Kwani akim follow Ali Kiba wewe mkuu ukiwa kama mshabiki wa Diamond unapoteza nini. Kwani ugomvi asee.
Si mumuache jamani, kama anakosea au anapatia si ni yeye na maisha yake. Boss hangaika na yako ugali uende kinywani, mambo magumu sasa hivi kuanza kumfatilia mtu unapoteza timing ya kulenga ili ya kwako yaende!
Ni kama mashabiki wa Diamond mmeachwa na mshangao sana na hamuamini kabisa kuwa huyu dogo kajitoa kwenye lebo.
Umenena vyema.1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao.
Baada ya Salam SK, kuongea, asilimia kubwa imeshaamini kua Harmo anaondoka WCB kwa jeuri. Kiburi, kujisikia na amekosa fadhila. Itamchukua muda sana kulifuta hili kwenye safari yake. Ukweli hua hauzungumzwi mara mbili.
2: Kumfolow Ali Kiba.
Bila shaka kichwani Harmonize anawaza ukubwa wake utakavyokua baada ya kuondoka WCB. Kwa vyovyote vile ili aupate ukubwa huo ni lazima apambane kusimama juu ya au kufika pale walipo Kiba na Diamond
Kufika hapo si kwa idadi ya watu wanaosikiliza ngoma zako ila ni kua na idadi kubwa ya watu wako wanaokuamini. Wasanii wengi wameua carear zao kwa kukosa uvumilivu wa kutengeneza mashabiki wao, wengi wamenasa kwenye mtego wa Kiba na Mondi. Ref Baraka da Prince, Rich Mavoko.
Kumfolow Kiba sasa ni ishara ya kutafuta huruma ya upande wa pili. Upande ambao unapambana na upande wa Diamond. Huku anaweza kupata nusu watakaomsapoti lakini lazima ajue kwa upande wa mashabiki wa WCB hakuna atakaemsapoti tena. Ameiweka rehani biashara yake!
3: Kujaribu kuacha 'kivuli chake WCB.' .
.
Ni vyema kuonekana bado anaipenda WCB, lakini kwa faida ya kazi yake na aina ya mashabiki tulionao, Harmo hatakiwi kuihusisha kazi yake na WCB. Kufanya hivyo huenda hili likawa kaburi lake kimuziki.
Kuna dhana ya unafki itaanza kumtafuna. Kama alifuta ile kusainiwa WCB, hakukuwa na ulazima wa kuacha neno WCB for Life kwenye Bio yake. Kwa lugha ya Salam SK, Harmo alianza kuivimvimbia menegament yake kabla ya kutoka. Hakuna anayejua nyuma ya kicheko cha Diamond, kuna nini.
.
.
4: Kutaka kuachia wimbo mpya haraka
Hili ni kosa kubwa sana. Saa chache baada ya Salam SK kuongea, Harmo amepost cover kua yuko mbioni kuachia ngoma. Hii ni tension mbaya sana anaitengeneza.
Kwa sababu ya presha ya hivi sasa, wako watakaoichukia kazi yake. Haijalishi ubora wake, Liko sikio litamkataa tu kwa kuonekana ana kiburi cha kushindana.
Iko dhana ya 'KIKI' pia inaweza kuingia. Akaonekana mtu wa drama za mitandao. Hii ni mbaya sana.
NB: Pengine Harmo hajajua kua ni ngumu kuitofautisha WCB na Diamond. Ajipange kwa yote.
Binafsi nimeghazabishwa na kijana kamwe sitamsapoti tena
1: Kuruhusu upande wa WCB kutangulia kueleza tofauti yao.

Tatizo mashabiki wa wcb wameumia kuondoka kwake
Duuh kwann mkuu?Binafsi nimeghazabishwa na kijana kamwe sitamsapoti tena