Makosa 5 yanayowakabili Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake G.N. Kaburu

Wamatopeni kama nawaona vile wanavyohuzunika baada ya mabosi wao kuwekwa kizuizini
IMG_-sv30cz.jpg
 
MO Dewji sasa anachukua timu kilaini iiiiiii. Hao wengine wapiga deals tu
 
Inashangaza eti nyasi za Simba sc zinatakakupigwa mnada pale Bandarini na Viongozi wanakula hela na wanasema hela akuna?? Nilizani wanagombea ili kuisaidis team kumbe Simba ndio Daraja Nimelia sana leo nilivyosikia hivi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Inashangaza eti nyasi za Simba sc zinatakakupigwa mnada pale Bandarini na Viongozi wanakula hela na wanasema hela akuna?? Nilizani wanagombea ili kuisaidis team kumbe Simba ndio Daraja Nimelia sana leo nilivyosikia hivi
Mashabiki huwa wanapiga kelele tu,wenzao wanakula ndo mjifunze sasa
 
Inashangaza eti nyasi za Simba sc zinatakakupigwa mnada pale Bandarini na Viongozi wanakula hela na wanasema hela akuna?? Nilizani wanagombea ili kuisaidis team kumbe Simba ndio Daraja Nimelia sana leo nilivyosikia hivi
Majizi haya
 
Ghorofa la hans poppe linatizamana na mgahawa wa babanusa pale Iringa
 
Inawezekana, lakini Hans Poppe anao uwezo mkubwa wa kujenga maghorofa kama lile alilojenga pale Iringa hata ma5 bila kutegemea pesa ya SSC
Nakubali nimechanganya kidogo!

Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
 
Back
Top Bottom