Wamatopeni kama nawaona vile wanavyohuzunika baada ya mabosi wao kuwekwa kizuizini
Hahahaha aseeh noma mkuu
Simba ina pesa gani? We tunakujua ni mnazi wa vyura kwahiyo unaandika kiumbeaumbeaHuyu Kaburu anamalizia mjengo(ghorofa) wake pale Iringa Mjini kwa pesa za Simba....
Mbumbumbu ni wewe na mkeo mngese weweHili la kuwadanganya Mbumbumbu Fans kuwa FIFA watawaamuru Yanga wawakabidhi kombe limesamehewa?
Mzee wa ngadaAfadhali Manji wetu.
Alikuwa anatoa, sasa hawa wanatwaa.
Mashabiki huwa wanapiga kelele tu,wenzao wanakula ndo mjifunze sasaInashangaza eti nyasi za Simba sc zinatakakupigwa mnada pale Bandarini na Viongozi wanakula hela na wanasema hela akuna?? Nilizani wanagombea ili kuisaidis team kumbe Simba ndio Daraja Nimelia sana leo nilivyosikia hivi
Peleka TAKUKURUNakubali nimechanganya kidogo!
Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
Peleka TAKUKURUNakubali nimechanganya kidogo!
Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
Sawa mzee wa ngadaWamatopeni kama nawaona vile wanavyohuzunika baada ya mabosi wao kuwekwa kizuizini
Simba ina pesa gani? We tunakujua ni mnazi wa vyura kwahiyo unaandika kiumbeaumbea
fresh sana mzee wa kulilia pointSawa mzee wa ngada
Hans Pope au kaburu??Huyu Kaburu anamalizia mjengo(ghorofa) wake pale Iringa Mjini kwa pesa za Simba....
Majizi hayaInashangaza eti nyasi za Simba sc zinatakakupigwa mnada pale Bandarini na Viongozi wanakula hela na wanasema hela akuna?? Nilizani wanagombea ili kuisaidis team kumbe Simba ndio Daraja Nimelia sana leo nilivyosikia hivi
Nakubali nimechanganya kidogo!
Ila kwa habari nulizopata kuna pesa za simba zinatumika pale.....
Lakini alikua anatuharibia vijana wetu!!!Afadhali Manji wetu.
Alikuwa anatoa, sasa hawa wanatwaa.
Yakhee ukali hauliwi atiMbumbumbu ni wewe na mkeo mngese wewe