Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

14 na 15 ndiyo komesha,ahahaah
 
Ndoa iliyokuwa na furaha imegeuka aje hadi aliye na furaha kwenda utafuta furaha nje?
Mlikuwa mnadanganyana tu. Hizo sababu 3 za mwanzo zimenitosha.
 
Mkuu
we sio wa kwanza kuoa na kuacha, ila naona kama mikasa yako midogo tu. Njoo huku Mbezi beach utalia
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yna2
Mchakato wa Ndoa nyingine umeanza mwezi jana na utamalizika october 28
Sema hapa watoto ndo huwa wanaathirika.
Mateja,vibaka,machangu Ni zao la ndoa kuvunjika
 
Huyo mkeo si wakulaumiwa, ni bahati yake mbaya Alikutana na Play Boy tena wakiwango cha CR7. the rest ni history tu tena

yani anazibuliwa mtaro mpaka anatafuta mganga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vijana wa mjini wana hatari sana
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]! Da vijana mna styles nyingi mnoo..khaaa..sisi wazee ni "mende thingy" baasi![emoji39]! Hongereni
Ingawa huu uzi uko kwingine lakini ni ukweli vijana wa kileo wako na Style nyingi za ufanyaji wa
Na ndicho kinachopelekea watu wengi kutokuridhika ama kitosheka wakati mwisho was mchezo Ni ule ule tuu iwe kwa binadamu ama wanyama ni kukojoa tuu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Andiko ni refu. Sijasoma hata mstari mmoja. Mazingira hayaniruhusu. Bila kujali kama umeandika pumba au la nikupongeze kwa uandishi huu maana vijana saivi wamekuwa wavivu sana kuandika hadi wanakera.

Unamsalimia mtu kwa ujumbe wa simu "mambo" au "habari" anakujibu kwa kifupi "P" eti ndo "poa". Neno "Sawa" linaandikwa "K" ndio "Okay" hiyo. Yaani ni kichefuchefu tupu.

Kwa wewe big up sana nakushauri waone waandishi wa riwaya/hadithi n.k utafika mbali usipoteze kipaji.
 
Hadi inaboaπŸ˜€πŸ˜€...style nzuri ni 2tu. Zingine uzushiπŸ˜†πŸ™Œ
 
Makosa 99 yako wapi?

Huu uzi unanuka siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…