Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

KWENYE 15 WANAWAKE WA MJINI WENGI WANAFANYA.
KWAMBA UKIPATA MWANAMKE MWENYE MALENGO NAYE,
MWAMBIE ARUKE KICHURA CHURA, AKIPIGA MiLUZI JUA TAYARI!
 
Ila nyinyi wanawake kama hamjui kila mwanaume anazaliwa akiwa na upendo tena wa hali ya juu ila jamani mwanaume akishagongewa tu aaaaagh umemkosa huyo!!!
 
Sijasoma hadi mwisho ila kama umeandika ukweli pole mkuu.

Dhana ya haki sawa kwa wote inatakiwa kuangaliwa kwa kina sio ukasuku wa "kifemisti" tu.
 
Back
Top Bottom