Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

Umenirudisha juu ili nikaangalie number 14 na 18 😜

 
Sema ilo kosa namba nne sie akina thomaso tunaaminije? acha uchoyo share hizo video
 
Ahsante kwa fasihi yenye fasiri.

Sikiza, mkeo ni mkeo tu, hata kama alipakwa puturu lakini naniliu si bado ipo bana?

Mimi mzee wa baraza napangua hoja zako zote hasa hoja namba 1 na 2.

Hoja namba 14 na 18 angalia mapungufu upande wako pia.

Mzee mwenzangu hebu tulizana na mkeo mpate wajukuu
 
Mwana jamii.forums yeyote mwenye namba ya hospital ya vichaa mirembe ampe mleta mada awapigie waende wakamchukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…