Makosa kama haya ni aibu kubwa kwa nchi yetu

Hivi waandaji was Miss Tanzania HAKUNA aliyeishia hata form four?
 
Namba uwa zina kiherehere kuliko herufi.namba aijaguswa yenyewe tayari ishaji print.
 
sijui tumewahi kuwa serious katika nin[emoji1][emoji1].

gari yenyewe mwaka 2020 si walitoa vits chakavu??
 
Taifa gani?? Kwa manufaa yapi
Mshindi ndio Anapata faida.
pesa anayolipwa mshindi hata kama ni Elfu 10 tu, si kitu
Kikubwa anachata Ni umaarufu na Fursa.

Fursa Nyingi sana Ukiomba huku ukidai wewe ni Miss Tanzania, wanakuchukua chap.

ndo wanakujaga kwenda kutuwakilisha ulaya hao, mambo mbalimbali, hujui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…