Mlamba Chumvi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 408
- 409
Haaaa poleMkuu kuna jamaa nilimkopesha tuko chuo mwaka wa mwisho akalipia ada ili afanye final UE lakini cha ajabu hats alipochukua caution money yake hajakumbuka kunilipa hadi leo at the same time nilimbeba tukaishi wote chumba nilicholipia hata hakutoa cent. Namsubiria miaka saba ikifika natumia principle ya kibiblia ya bad debt written of.
NakupendagaMada kama hizi hawachangii sana ila ingekua mada ya "nimemgonga demu mkali ana msambwanda wa kunona" ooh sasa hivi tupo page ya 20 na kuendelea.
Pole sana mkuu lakini umejifunza kituAsante mkuu. Nimeyazingatia mengi katika haya kwa muda mrefu sasa bila ya kuyasoma popote. Mengi yamekuwa "common sense" kwangu. Ila lipo moja ambalo nilijifunza kwa machungu baada ya kukosea - kukopesha marafiki na ndugu.