Makosa katika pesa, Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara

Makosa katika pesa, Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara

Mkuu kuna jamaa nilimkopesha tuko chuo mwaka wa mwisho akalipia ada ili afanye final UE lakini cha ajabu hats alipochukua caution money yake hajakumbuka kunilipa hadi leo at the same time nilimbeba tukaishi wote chumba nilicholipia hata hakutoa cent. Namsubiria miaka saba ikifika natumia principle ya kibiblia ya bad debt written of.
Haaaa pole
 
Kama Mangi nazingatia haya kwa asilimia kubwa!!
Japo nakwamakwama, lkn mambo yanasonga
 
Kama Mangi nazingatia haya kwa asilimia kubwa!!
Japo nakwamakwama, lkn mambo yanasonga
Pambana mkuu weka malengo mtangulize mungu mbele hakika majaribu utayashinda la umuhimu usikate tamaa
 
Asante mkuu. Nimeyazingatia mengi katika haya kwa muda mrefu sasa bila ya kuyasoma popote. Mengi yamekuwa "common sense" kwangu. Ila lipo moja ambalo nilijifunza kwa machungu baada ya kukosea - kukopesha marafiki na ndugu.
 
Pole sana mkuu lakini umejifunza kitu
 
Back
Top Bottom