Makosa katika pesa, Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara

Mada hii nakumbuka ilishawahi kuletwa humu,.. Lakini sio mbaya wakati inafundisha kitu fulani kuletwa kila mara.
 
Sawa bila kusahau,

1. Get money, act broke
2. Save yours & spend other’s
 
Mada kama hizi hawachangii sana ila ingekua mada ya "nimemgonga demu mkali ana msambwanda wa kunona" ooh sasa hivi tupo page ya 20 na kuendelea.

Kugegedana ndio Raha ya dunia pesa na Mali ni ubatili tuu kaka. Hilo zote mbwembwe za dunia.
 
[emoji383]MONEY MISTAKE 13
Una ndoto kubwa hapo baadae; labda kujenga nyumba, kununua gari, kununua kiwanja, simu nzuri hata pikipiki. Usikurupuke, ukanunua kitu cha ndoto yako sasa eti tu sababu umekipata kwa bei ya punguzo. Usichanganye kati ya mahitaji ya baadae na ya sasa. Pesa unayotumia kutimizia ndoto sasa itumie kwa mahitaji ya sasa. Ndoto ibaki kuwa ndoto. Hii itakuepushia kuingia katika madeni au kuishi kwa shida sababu ya tamaa. Jipange taratibu kutimiza ndoto yako.


Umenena vyema sana hapa.
Ilishanikost sana hii mm.
 
Wengi wetu tunajua haya issue ipo kwenye utekelezaji tuu.Ahsante kwa kutushtua/kutukumbusha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…