HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 996
- 2,267
JF katika ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urongo!Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
Hiyo #1 naizingatia sana. Naweza kukopa kuongezea kwenye biashara zangu na wala siyo kuanzisha biashara mpya ambayo haikuwepo kabisa.Urongo!
Acha bangi..Mada kama hizi hawachangii sana ila ingekua mada ya "nimemgonga demu mkali ana msambwanda wa kunona" ooh sasa hivi tupo page ya 20 na kuendelea.
NakupendagaNakupendaga
Lol... Afu leo sijavuta.Acha bangi..
Hata niwe na hela za kumwagika huyo jamaa siwezi kumpa hata miaKama uwezo na akiba ya kutosha ipo saidia kwa kuokoa
Mada kama hizi hawachangii sana ila ingekua mada ya "nimemgonga demu mkali ana msambwanda wa kunona" ooh sasa hivi tupo page ya 20 na kuendelea.
Kugegedana ndio Raha ya dunia pesa na Mali ni ubatili tuu kaka. Hilo zote mbwembwe za dunia.
MKUU,Hata niwe na hela za kumwagika huyo jamaa siwezi kumpa hata mia