Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Al sahih ni zoea.
"Al sahih" ndio nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al sahih ni zoea.
sahihi, fasaha, sadifu.
Ni lugha gani?
Kiswahili hicho. Kiswahili fasaha, sahihi au sadifu.
Neno "al sahih" ni kiswahili chenye maana "sahihi"?
al sahih ni neno la kiarabu ambalo kwalo neno sahihi limetoholewa. Kwa maana hiyo al sahih sio neno fasaha la kiswahili.
Samahani kwa kuchanganya lugha.