Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Umesema Muzamiru, Kanoute na Ngoma ni wachezaji wenye kaliba zinazoendana. Pia umesema Ngoma hapendi mpira wa kugongana. Kwa maana hiyo Muzamiru na Kanoute nao hawapendi mpira wa kugongana (kwa kuwa umesema wana kaliba inayoendana na Ngoma). Ni kweli hayo?Mzamiru,kanoute na ngoma ni wachezaji wenye kaliba zinazoendana. Ngoma hapendi mpira wa kugongana kabisaa na pia timu ikiwa haina mpira afu akutane na timu yenye kasi anapotea Sana sababu yupo slow.