Makosa kikosi cha Simba haya hapa

Mzamiru,kanoute na ngoma ni wachezaji wenye kaliba zinazoendana. Ngoma hapendi mpira wa kugongana kabisaa na pia timu ikiwa haina mpira afu akutane na timu yenye kasi anapotea Sana sababu yupo slow.
Umesema Muzamiru, Kanoute na Ngoma ni wachezaji wenye kaliba zinazoendana. Pia umesema Ngoma hapendi mpira wa kugongana. Kwa maana hiyo Muzamiru na Kanoute nao hawapendi mpira wa kugongana (kwa kuwa umesema wana kaliba inayoendana na Ngoma). Ni kweli hayo?
 
Weakness ya Fabrice anakataa moto mapema/anachoka huwezi mchezesha Kama namba6 Alafu ukamuamini kwa dk zote 90.....BIG NO KWANGU!!!!
Ngoma ni mvivu karibia mechi 5 zote za ligi yeye ndiye amekuwa mwanzilishi wa makosa ambayo Simba anadhibiwa!!. Ngoma anapangwa lakini maaada wake n mdogo afadhali kanoute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…