Makosa kwenye kitabu cha Historia cha Darasa la Saba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Kitabu hicho hapo chini kina makosa katika kufundisha historia ya Tanzania.

''In 1929 Kleist and some close friends, namely, Mzee bin Sudi, a Manyema, Ibrahim Hamis, a Nubi, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts and Cecil Matola founded the African Association.''

African Association haikuanzishwa mwaka wa 1922.

''Abdul Sykes' first move was to form what was known as TAA Political Subcommittee [1] Sheikh Hassan bin Amir as the Mufti of Tanganyika, Dr Kyaruzi, Hamza Mwapachu, Said Chaurembo, who was the liwali at Kariakoo local court, John Rupia and Stephen Mhando.''

Kitabu kimeandika wajumbe walikuwa: Dr. V. Kyaruzi, Abdul Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz, James Mkande na L. Tsere.

[1] Annual Report of the Secretary of Tanganyika African Association, 7 January, 1951. Sykes' Papers.
Screenshot_20201124-220341.jpg
Screenshot_20201124-220841.jpg
IMG-20201124-WA0266.jpg
 
Kitabu hicho hapo chini kina makosa katika kufundisha historia ya Tanzania.

''In 1929 Kleist and some close friends, namely, Mzee bin Sudi, a Manyema, Ibrahim Hamis, a Nubi, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts and Cecil Matola founded the African Association.''

African Association haikuanzishwa mwaka wa 1922.

''Abdul Sykes' first move was to form what was known as TAA Political Subcommittee [1] Sheikh Hassan bin Amir as the Mufti of Tanganyika, Dr Kyaruzi, Hamza Mwapachu, Said Chaurembo, who was the liwali at Kariakoo local court, John Rupia and Stephen Mhando.''

Kitabu kimeandika wajumbe walikuwa: Dr. V. Kyaruzi, Abdul Sykes, Ally Sykes, Dossa Aziz, James Mkande na L. Tsere.

[1] Annual Report of the Secretary of Tanganyika African Association, 7 January, 1951. Sykes' Papers.View attachment 1634171View attachment 1634174View attachment 1634175
Vitabu vingi vinamakosa hasa vya waandishi wasio ktk taasis
 
Iwapo kila wakiambiwa na kuoneshwa historia sahihi hawataki kubadili makosa yao.Vichomwe moto hadharani kuvivunjia heshima.Vibaki vile ambavyo hakuna aliyeleta ushahidi kinyume chake.
kweli kabisa. Wasiwapotoshe watoto washindwe kuifahamu vyema historia ya nchi yetu.
 
Tatizo lipo kwa anae andika historia hajui historia,mbaya Zaid na muizinishaji nae hajui historia.
 
Historia ya nchi yake inamsaidia nini kwenye mfuko wake
 
Sheikh M. S asante sana , ebu naomba utuletee na yale maujinga-ujinga tuliyoaminishwa mashuleni na hao mabeberu, kwamba " Waarabu ndio waliotesa mababu wa kiafrika, na sio wazungu" baadhi ya miafrika isiyojitambua ikaamini huu upuuzi usio na kichwa wala miguu. kwakuwa mtungaji ni Mzungu wakaamini.

Ebu tuwekee sheikh, bado kuna mijitu huku zero brain
 
IMG-20200624-WA0077.jpg
 
Both waarabu na wazungu walituuza watumwa na mbaya zaidi babu zetu walishiriki kukamata waafrika wenzao na kuwauza
 
The Boss,
Muhimu watu wakasoma pia TransAtlantic Slave Trade na Belgian Congo Slave Trade.

Yapo.mengi ya.kujifunza.
Sasa mzee unataka kusema Wazungu ndio waliowatesa, kuwatumikisha na hata kuwaua watu weusi na Waarabu hawakufanya hayo?
 
Loftins,
Ungesoma usingerudi hapa na maswali.
Nimesoma mzee wangu, hoja ya Dalmine ni kwamba watu weusi walifanyiwa unyama na wazungu na waarabu hawakufanya hayo kabisa!

Yaani Masoko ya watumwa Bagamoyo, Kilwa, Zanzibar n.k, hayakuwa ya waarabu bali wazungu!

Masultan kutoka Oman walioitawala Zanzibar kwa miaka mingi hawakuwa waarabu bali wazungu!

Kwa kifupi maovu yote kwa mtu mweusi yalitendwa na Mzungu na si Muarabu!
Hii hoja hujaijibu bali umetuelekeza kusoma TransAtlantic Slave Trade na Belgian Congo Slave Trade.
 
Elimu iko katika kusoma.
 
Kwenye biashara ya utumwa kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki sina jamii ya kuilaumu moja kwa moja, maana wote walihusika. Muafrika alihusika, Mwarabu alihusika na mzungu alihusika. Kiujumla aliyekuwa akiuza watumwa alikuwa muarabu, dalali wa watumwa alikuwa muafrika na mnunuzi mkuu alikuwa mzungu. Mwisho wa siku aliyesimamia kidete hii biashara kufutika duniani alikuwa mzungu.

Kuhusu dini, hilo ni jambo binafsi na utashi binafsi. Sioni mantiki ya kulihusisha na asili au rangi za ngozi ya mtu. Dini kubwa zilizopo duniani leo hii asili yake ni Asia na Mashariki ya kati. Mzungu amekopi tu na waafrika tumekopi vile vile.
 
Back
Top Bottom