Makosa Makubwa 3 ya Diamond ni haya

Kama hujui hasira za kuzomewa, kamuulize Diamond. Jamaa kajua kuzomewa aiseeh, yaani hadi kakonda ghafla pale jukwaani.
Ova
 

hahahahahahaha your such an artist, mbona atakomaaa, kiherehere chake cha kutoa video kali na kujishauwa kwenda kurekodia mara sauzi, eti ili kazi yake iwe nzuri, ye ni nani kwanza, malegendary wa mziki hawajawahi kwenda kufanyia video sauzi ye alimtuma nani kama sio sifa??

yeye kwa akili yake ya kitandale tandale alifikiria ndio tutampenda hakujua kuwa anatuboa?????
sisi tumeshazoa msanii anapanda kama moto wa kiberiti na kuzimika fasta, sasa yeye anatutokea wapi kungangania huko juu??? hizo ni dharau
buhahahaaaa mtoa mada umenichekeshaa sisi ndio watanzania bwana, maisha yetu hayahaya tumeridhika nayo.
 
kosa la nne kufundisha watu kuwa ili uwe mwanamuziki lazima uwe mzinzi,yule mi namuona mziznzi zaidi ya mwanamuziki mara wema ,mara penny,mara jokate

mpaka hapo umetaja wanawake zake watatu, kama kweli huna chuki binafsi na daimond taja wa kiba, tena taja wale waliovuma tuu, ukianza na wale wawili aliozaa nao.
 
Wanazomewa watumishi wa Mungu,wanasiasa,wachezaji mpira sembuse yeye?? kuzomewa sawa ila akomae tu ndio watz tulivyo....
 
Upuuzi wote huu wa kumponda msanii mwenye mafanikio kama DIAMOND ni kwa udhamin wa CLOUDZ MEDIA.
 
Mkuu ni kweli watu wenye chuki binafsi wanamchukia Diamond kwa kuwa tu amefanikiwa kupitia muzik, haya ndio matatizo ya kuendekeza njaa za buku 5, huwezi kumlinganisha Diamond na Ali Kiba, ktk single zake zote ni 3 tu ndizo zilizohit halafu ajilinganishe na mtu ambaye ametoa single zaidi ya 40 na zote zimehit, na bado zipo kny chat, hizo zitakuwa akili za kushikiwa kwa kuendekeza njaa. Media mbao zimewashika na mmeshikika! Endekezeni njaa mtaona mwisho wake, man unatakiwa uwe money fighter sio kutegemea uzomee ili ulipwe, life haiendi hivyo!
 

Kosa la

4.USHAMBA
 
mpaka hapo umetaja wanawake zake watatu, kama kweli huna chuki binafsi na daimond taja wa kiba, tena taja wale waliovuma tuu, ukianza na wale wawili aliozaa nao.

Sijui kama unawajua,hajawahi kuwataja hadharani maana ni kuwadharirisha na kuwakera wapenzi/waume wao wa sasa.

Platz aliona sifa kuwataja hakufikiria hilo.
 
uliangalia kipindi cha mkasi cha kiba???? hapo mimi ndipo nilipowajulia, aliwanadi mwenyeweee kwa mdomo wake. situngagi hadithi mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…