Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
#Upandachondichouvunacho: Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba kura kutoka kwa wananchi wa Tanzania kupewa uongozi wa kisiasa ni haya.
1. Kumshambulia mgombea mshindani kwa tuhuma zisizothibitishwa na chuki dhahiri za binafsi;
2. Kulazimisha wananchi wakatae kukiri wanachokiona kimetendwa hakipo na wala hakina faida;
3. Kutoa sera zilizokopwa kutoka ughaibuni na kudharau uwezo wa wananchi wenyewe kupendekeza wanachokitaka kifanyike kwa ustawi wao.
4. Kukatisha tamaa juhudi za serikali kujitegeme kifikra, kiuamuzi, kiuchumi, kijamii, kitalaamu, kisiasa nk na kupendekeza kuiga ustarabu wa nje ya nchi amabo unakiuka desturi na utamaduni wa Mtanzania;
5. Kuigawa nchi vipande vipande kwa madai kila eneo linufaike na rasirimali hilo bila kuzingatia kwanini waasisi wa Taifa hawakufanya hivyo.
6. Kuhimiza rasirimali za nchi zinawekwa rehani kwa wenye utajiri toka nje ya nchi kwa kupewa pesa kuendeshea serikali na kuchochea maendeleo hodhi kwa matajiri pekee;
7. Kuhumiza uvunjifu wa amani na utulivu waliozoea wananchi kwa muda mrefu ili kufanikisha malengo ya kisiasa.
8. Kutumia viongozi wa kidini kuomba kura kwenye jukwaa la kisiasa kila mahali kwa kutumia lugha isiyo na staha na uchochezi.
9. Kutamka bayana jukwaani kulipiza visasi endapo angefaulu kuchaguliwa uongozi husika.
10. Kutamka hadharani kuondoa sheria halali za nchi kwa manufaa binafsi na watu wachache waliothiriwa na sheria hiyo kutokana na makosa waliyotenda kwenye jamii au uhujumu uchumi;
11. Kutangaza hadharani kuwatoa jela watuhumiwa wa makosa mbalimbali ya kijinai kwa manufaa ya kisiasa bila kujali athari za uvunjifu huo wa sheria;
12. kuahidi kitu kisichowezekana kutendeka kwa akili za kawaida.
13. Kutisha vyombo vya Habari na kudhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kwamba hawana weledi na kwamba endapo angechaguliwa angefumua mfumo mzima wa jeshi na kuunda upya;
14. Kutaja hadharani kwamba kuna orodha ya watendaji wa serikali ambao watapelekwa kushitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa ICC
15. Kutamka kwamba endapo angechaguliwa angevunja menudo mbinu yote aliyosimamia ujenzi wake Raisi aliyeko madarakani;
16. Kutoa tuhuma za madai ya wizi kwa Rais aliyeko madarakani bila kuwa na uthibitisho
17. Kutamka hadharani wakati wa kampeni kwamba kwenye uchaguzi husika hana maslahi yoyote na Zanzibar hivyo hatajali ikijitenga kutoka kwenye muungano;
18. Kudhalilisha mahakimu na majaji wa makahama za Tanzania kwamba hawajui sheria, hawajui kiingereza, kiwango duni cha elimu na kwamba wamewekwa mfukoni na Rais alyeko madarakani;
19. Kudai Bunge la Jamhuri ya muungano limewekwa mfukoni na serikali pamoja na Rais aliyeko madarakani
20. Kudai serikali iliyoko madarakani ni ya kibaguzi, kikabila, kidini na imakataliwa na wananchi pasipo ushahidi wowote;
21. Kumtuhumu hadharani Rais aliyeko madarakani kwamba ndiye aliyeamuru yeye kupigwa risasi pasipo ushahidi uliothibitishwa mahakamani;
USHAURI na WITO:
Kuheshimu mamlaka iliyoko madarakani;
Kuheshimu hisia, matakwa, matarajio na uamuzi wa wananchi kuongozwa na nani
Kuacha dhihaka dhiki ya matokeo ya kazi zilizofanywa na mamlaka iliyoko madarakani au iliyotangulia
Tanzania decided, and the voice of the normal citizens have spoken volume in the just cast votes hence it is expected every contenstant will concede the results to be pronounced soon by the NEC/ZEC.