Jioni hii trump katangaza kuwaunga mkono wapiganaji wa Kurdish Kwa kuwapa silaha za kisasa ili kupindua utawala huu wa iran.Hata utawala usipotolewa lakini misimamo mikali itaondoka
Hao jamaa wangeacha kushupaza shingo kwa maslahi ya taifa lao.Jioni hii trump katangaza kuwaunga mkono wapiganaji wa Kurdish Kwa kuwapa silaha za kisasa ili kupindua utawala huu wa iran.
Hawa Kurdish wapo kaskazini na magharibi mwa Iran, Kwa kifupi Iran kutakuwa na makundi mengi ya wapiganaji kama ilivyokuwa Libya na iraq ndicho kinaenda kutokea iran
Anatumia strategy ileile aliyoitumia Iraq na Syria kwa kuwatengeneza ISISJioni hii trump katangaza kuwaunga mkono wapiganaji wa Kurdish Kwa kuwapa silaha za kisasa ili kupindua utawala huu wa iran.
Hawa Kurdish wapo kaskazini na magharibi mwa Iran, Kwa kifupi Iran kutakuwa na makundi mengi ya wapiganaji kama ilivyokuwa Libya na iraq ndicho kinaenda kutokea iran
View attachment 3551544
Mauaji ya Oktoba 7: Kosa Kubwa la Kijeshi
1. Mkakati wa Mhimili wa Upinzani
- Mashambulizi yalipangwa kulazimisha Israel kuingia Gaza kwa uvamizi wa ardhini.
- Lengo lilikuwa kuchochea hasira za Waarabu na kuanzisha mashambulizi ya pande nyingi kutoka washirika wa Iran.
- Iran iliwekeza zaidi ya miaka 40 na mabilioni ya dola kujenga mtandao wa vikundi vya wanamgambo: Hezbollah, Hamas, Wahouthi, na makundi Iraq na Syria.
2. Kuanguka kwa Hamas
- Yahya Sinwar, mbunifu wa mashambulizi ya Oktoba 7, aliuawa Gaza tarehe 16 Oktoba 2024.
- Ismail Haniyeh, kiongozi wa kisiasa wa Hamas, aliuawa tarehe 31 Julai 2024.
- Uongozi wa juu wa Hamas uliangamizwa hatua kwa hatua.
- Gaza sasa inadhibitiwa kwa nusu tu na kundi hilo, huku raia wakibeba gharama kubwa ya vita.
3. Fedheha ya Hezbollah
- Operesheni ya “pager” na mashambulizi ya anga yalimuua Hassan Nasrallah tarehe 27 Septemba 2024 mjini Beirut.
- Kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa, jeshi la Lebanon liliwalazimisha Hezbollah kuweka silaha chini.
- Jeshi lililoonekana lenye ustadi mkubwa duniani liliwekwa kando kwa aibu.
4. Kuanguka kwa Assad
- Bashar al-Assad, aliyenusurika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya muongo mmoja, aliondolewa madarakani ndani ya siku chache.
- Iran ilikuwa imewekeza rasilimali nyingi kupigana na Israel, na washirika wake Syria walidhoofishwa.
- Assad, aliyelindwa na Iran kwa miaka 15, alianguka ndani ya saa 72.
5. Kufa kwa Utawala wa Iran
- Mashambulizi dhidi ya Iran hayakuanzisha Vita Kuu ya Dunia ya Tatu kama wengi walivyodhani.
- Ebrahim Raisi, Rais wa Iran, aliuawa tarehe 19 Mei 2024.
- Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran, aliuawa tarehe 28 Februari 2026 ndani ya makazi yake.
- Kamanda wa IRGC, Waziri wa Ulinzi, na uongozi wote wa kijeshi wa juu waliondolewa.
- Miaka 40 ya kujenga utawala uliodaiwa kutoguswa iliisha kwa siku moja tu.
6. Vita vya Kitamaduni Baada ya Kijeshi
- Wakati Israel na Magharibi walishinda vitani, kizazi cha raia wa Magharibi kilionekana kushabikia harakati zilizokuwa na lengo la kuwaua.
- Swali gumu likabaki: nini kifanyike pale ambapo raia wako wenyewe wanashabikia kushindwa kwako na uislamishaji wa jamii zao?
Ungekuwa una akili japo ya kuvukia barabara basi ungeweka hizo hoja na siyo matusi. Matusi ni kiashiria kuwa huna unalolijuwa.Mchambuzi chizi, mwana historia uchwara kutoka dunia ya tatu - tulikozoea ukandamizaji wa serikali dhidi ya raia wake - unatoa historical snapshot ya migogoro ya miaka 40 ya nchi halafu unasahau kutaja matukio ya nchi kuua raia wake yenyewe tena na tena, na uwepo wa utawala uliokalia madaraka kinguvu toka 1979.
Rekebisha au ondoa hiki kichefuche na kituko, kinakuchafua mbele ya peer reviewers. Wanafunzi wenzio wa historia ya Mashariki ya Kati tunakuona unabumba, kilaza mkubwa!
Ungekuwa una akili japo ya kuvukia barabara basi ungeweka hizo hoja na siyo matusi. Matusi ni kiashiria kuwa huna unalolijuwa.
Asubuhi yote hii unaanza kumuita mtoa hoja chizi na mchambuzi uchwara, kama una stress za familia usizilete hapa. Hapa ni mahali pa great thinkers na matusi
Utawala huu hauwezi kubakia kwa sababu watatawalaje wakati kila mara na kila walipo hao wanaopaswa kutawala mabomu yananing'inia juu yao...!!??😛😛😛Hata utawala usipotolewa lakini misimamo mikali itaondoka
Soma tena kwa kutulia andiko langu halafu uniambie wapi nimeandika uwongo.Ndio, nina stress za familia, serikali imemwaga damu ya vijana wangu.
Halafu tuna wananchi complete and utter dunderheads, mnaona ni hali ya kawaida. Hamna elimu ya uraia, watu wapo wapo tu duniani, wamelala wameamka, wamekula sembe, wamekunywa juisi za muwa, wanaona ni hali ya kawaida.
Miaka 40 Iran imewajenga Hamas na Hezbollah. Okay.
Na miaka 40 wanaua raia wao wenyewe, wanakalia nchi kimabavu, unaliache hilo kwenye muhtasari wa historia ya migogoro ya nchi ?????
Mchambuzi mwongo na usie na miktadha!
Utawala kuutoa lazima jeshi/raia waasi au kuwepo na jeshi pinzani la ardhini lenye nguvu mpaka Sasa vyote havionekani.Hata utawala usipotolewa lakini misimamo mikali itaondoka
Mojtaba Ali Khamenei, mtoto wa marehemu ndiye anatarajiwa kuchukua mikobaUtawala kuutoa lazima jeshi/raia waasi au kuwepo na jeshi pinzani la ardhini lenye nguvu mpaka Sasa vyote havionekani.
Huu utawala ukibaki madarakani anaweza kuja Ayatollah mwingine mhafidhina mwenye siasa Kali.
Vita ni mbaya sana , kifo cha mwanadamu yeyote, aliyebebwa tumboni miezi 9 inauma sana lakini sisi WASILAMU tumekuwa watumwa wa Dini.View attachment 3551544
Mauaji ya Oktoba 7: Kosa Kubwa la Kijeshi
1. Mkakati wa Mhimili wa Upinzani
2. Kuanguka kwa Hamas
- Mashambulizi yalipangwa kulazimisha Israel kuingia Gaza kwa uvamizi wa ardhini.
- Lengo lilikuwa kuchochea hasira za Waarabu na kuanzisha mashambulizi ya pande nyingi kutoka washirika wa Iran.
- Iran iliwekeza zaidi ya miaka 40 na mabilioni ya dola kujenga mtandao wa vikundi vya wanamgambo: Hezbollah, Hamas, Wahouthi, na makundi Iraq na Syria.
3. Fedheha ya Hezbollah
- Yahya Sinwar, mbunifu wa mashambulizi ya Oktoba 7, aliuawa Gaza tarehe 16 Oktoba 2024.
- Ismail Haniyeh, kiongozi wa kisiasa wa Hamas, aliuawa tarehe 31 Julai 2024.
- Uongozi wa juu wa Hamas uliangamizwa hatua kwa hatua.
- Gaza sasa inadhibitiwa kwa nusu tu na kundi hilo, huku raia wakibeba gharama kubwa ya vita.
4. Kuanguka kwa Assad
- Operesheni ya “pager” na mashambulizi ya anga yalimuua Hassan Nasrallah tarehe 27 Septemba 2024 mjini Beirut.
- Kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa, jeshi la Lebanon liliwalazimisha Hezbollah kuweka silaha chini.
- Jeshi lililoonekana lenye ustadi mkubwa duniani liliwekwa kando kwa aibu.
5. Kufa kwa Utawala wa Iran
- Bashar al-Assad, aliyenusurika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya muongo mmoja, aliondolewa madarakani ndani ya siku chache.
- Iran ilikuwa imewekeza rasilimali nyingi kupigana na Israel, na washirika wake Syria walidhoofishwa.
- Assad, aliyelindwa na Iran kwa miaka 15, alianguka ndani ya saa 72.
6. Vita vya Kitamaduni Baada ya Kijeshi
- Mashambulizi dhidi ya Iran hayakuanzisha Vita Kuu ya Dunia ya Tatu kama wengi walivyodhani.
- Ebrahim Raisi, Rais wa Iran, aliuawa tarehe 19 Mei 2024.
- Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran, aliuawa tarehe 28 Februari 2026 ndani ya makazi yake.
- Kamanda wa IRGC, Waziri wa Ulinzi, na uongozi wote wa kijeshi wa juu waliondolewa.
- Miaka 40 ya kujenga utawala uliodaiwa kutoguswa iliisha kwa siku moja tu.
- Wakati Israel na Magharibi walishinda vitani, kizazi cha raia wa Magharibi kilionekana kushabikia harakati zilizokuwa na lengo la kuwaua.
- Swali gumu likabaki: nini kifanyike pale ambapo raia wako wenyewe wanashabikia kushindwa kwako na uislamishaji wa jamii zao?
Huo mstari umekosea ingawa ulikuwa sahihiVita ni mbaya sana , kifo cha mwanadamu yeyote, aliyebebwa tumboni miezi 9 inauma sana lakini sisi WASILAMU tumekuwa watumwa wa Dini.
tunasema kufa ni Shaheed, huku tunaua na kuchinja wenzetu, sasa tunapotea kama kunguni, tufike mahali hizi siasa kali tuache na kumtegemea YEsu mtume pekee aliyezaliwa na mama bila baba na asiye na dhambi ya asili.