KarafuuZenji wanalima nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KarafuuZenji wanalima nini
We kajamaa husikii ni maonesho sio maonyeshoYale Maonyesho yanapaswa kuondolewa Serikalini na yakawa Pure Private, yaani yasiwe na Siasa, Usha wahi ona Maonyesho ya Utalii Arusha? Yale ni Private na yana fana sana, Kuna wakati wa Magu Serikali ilitaka kuyamiliki jamaa wakagoma.
Serikali ikigoma sana, Wakulima wanaweza andaaa Maonesho yao Private ya Kilimo, Wanaweza wakawa wanafanya hata mwezi wa 7 au 8 baada ya ile ya Serilali.
Ni kukodi Uwanja na kuandaaa Maonesho, ambayo yanakuwa ni Pure Agriculture
hapo mwenyewe unaona umeongea POINT?Yale Maonyesho yanapaswa kuondolewa Serikalini na yakawa Pure Private, yaani yasiwe na Siasa, Usha wahi ona Maonyesho ya Utalii Arusha? Yale ni Private na yana fana sana, Kuna wakati wa Magu Serikali ilitaka kuyamiliki jamaa wakagoma.
Serikali ikigoma sana, Wakulima wanaweza andaaa Maonesho yao Private ya Kilimo, Wanaweza wakawa wanafanya hata mwezi wa 7 au 8 baada ya ile ya Serilali.
Ni kukodi Uwanja na kuandaaa Maonesho, ambayo yanakuwa ni Pure Agriculture
Unaenda maonyesho ya kilimo unakutana na banda la TCRA au TANESCO for whatYale Maonyesho yanapaswa kuondolewa Serikalini na yakawa Pure Private, yaani yasiwe na Siasa, Usha wahi ona Maonyesho ya Utalii Arusha? Yale ni Private na yana fana sana, Kuna wakati wa Magu Serikali ilitaka kuyamiliki jamaa wakagoma.
Serikali ikigoma sana, Wakulima wanaweza andaaa Maonesho yao Private ya Kilimo, Wanaweza wakawa wanafanya hata mwezi wa 7 au 8 baada ya ile ya Serilali.
Ni kukodi Uwanja na kuandaaa Maonesho, ambayo yanakuwa ni Pure Agriculture
Naona una leta lugha za maandiko ya mradi. Kwani una intergrate watu au majengo? Dar hamuoni aibu kila jambo liwe kwenu? Miji mingine itaamka vipi? By the way yakiwa nje ya dar mtanufaika zaidi na per diems. Inapaswa yawe Mbeya au Morogoro, mikoa yenye wakulima haswa.Hahaha! tunalima sana huku nakufuga. Kuna haja ya kuwa na mtazamo mpana wa kilimo na ufugaji. Sekta ya Kilimo na ufugaji inatakiwa iwe integrated na other sectors. Nadhani Kuna wataalamu wenye uelewa mpana kwenye jambo hili, hapo ndio tunapata msingi wa maonyesho ya kilimo kufanyika Dar Es Salaam