Makosa makubwa ya Uaandaaji wa Maonyesho ya Kilimo Nane Nane

We kajamaa husikii ni maonesho sio maonyesho
 
hapo mwenyewe unaona umeongea POINT?
 
Unaenda maonyesho ya kilimo unakutana na banda la TCRA au TANESCO for what

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Naona una leta lugha za maandiko ya mradi. Kwani una intergrate watu au majengo? Dar hamuoni aibu kila jambo liwe kwenu? Miji mingine itaamka vipi? By the way yakiwa nje ya dar mtanufaika zaidi na per diems. Inapaswa yawe Mbeya au Morogoro, mikoa yenye wakulima haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…