Makosa Matatu ya Salum Mayanga na Hatma ya Stars

Timu apewe Saleh Mahamud Jabir yulee aliyechukuwa kombe la vijana wanaoishi ktk mazingira magumu lililofanyika India nadhani.yule jamaa ni very committed na ana pasuation na motivation kweli kweli mimi ningekuwa na uwezo wa kumwambia Malinzi ningemshauri akamchukua huyu kocha cv yake ni nzuri sana sana sana .ukitaka kujua mtu mzuri ktk kazi angalia maongezi yake tu.jamaa unaona anaongea akimaanisha na kuwachukulisha watoto wa mtaani kombe la dunia si kazi ndogo kweli atashindwa kuchukuwa kombe la Afrika kwa watu wasiotoka ktk mazingira magumu?Hebu tumpe na yeye pia ana mibaraka mingi kutoka kwa Mungu huyu mtu...Jabiir oyeeeeeeeeee3e
malinzi ushauri huo
 
Tatizo kubwa ni kumpa dhamana ya soka mtu asiyejua kuongoza soka. Hivi mnafikiri Jamal Malinzi atatusaidia kuongoza soka au ndio anatuzamisha? Haiwezekani ukampatia Mayanga nafasi kufundisha Stars. Huyu Mayanga tunamlaumu bure wakati anayestahili lawama ni yule aliyempa nafasi ya kufundisha!
 
Laana hii itaondoka mpaka ifanyike dua ya kitaifa. Laana hii ilisababishwa na Simba kwenye ile fainali ya federation ,Mzee mwinyi akiwa mgeni rasmi ,ambapo waliiuza mechi. Hii timu tunalazimisha, Mzee aliskitika sana. Mimi huwa naangalia timu ya taifa nikiwa loose, sina uzalendo na Vitu vibovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…