Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Timu apewe Saleh Mahamud Jabir yulee aliyechukuwa kombe la vijana wanaoishi ktk mazingira magumu lililofanyika India nadhani.yule jamaa ni very committed na ana pasuation na motivation kweli kweli mimi ningekuwa na uwezo wa kumwambia Malinzi ningemshauri akamchukua huyu kocha cv yake ni nzuri sana sana sana .ukitaka kujua mtu mzuri ktk kazi angalia maongezi yake tu.jamaa unaona anaongea akimaanisha na kuwachukulisha watoto wa mtaani kombe la dunia si kazi ndogo kweli atashindwa kuchukuwa kombe la Afrika kwa watu wasiotoka ktk mazingira magumu?Hebu tumpe na yeye pia ana mibaraka mingi kutoka kwa Mungu huyu mtu...Jabiir oyeeeeeeeeee3e
malinzi ushauri huo
malinzi ushauri huo