Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

duh! Kumbe ni mmachame, basi nimeghairi hata sitaki kumdanganya tena
mi natoka mwanga sehemu moja inaitwa kihurio!
wewe nani aolewe na mtu ya huko bahili hela ya saluni lazima uattach na profoma invoice then upeleke na receipt? Na chenji duuuh weweeee
 
wewe nani aolewe na mtu ya huko bahili hela ya saluni lazima
uattach na profoma invoice then upeleke na receipt? Na chenji duuuh weweeee
Kule unakotoka si ndo nasikia MUNAWAGADAFI wanaume
wakishapata vijisenti?
 
sitaki mxer yaani nataka wa mita chache tuu toka home yaani awe jirani kabisa kule kijijini kwetu

huyo lazima atakuwa kaka yako wa baba mkubwa au mdogo!!
 
huyo lazima atakuwa kaka yako wa baba mkubwa au mdogo!!

Be realistic bana. We huna majirani tofauti na ndugu zako? Hata kama kijiji kimetawaliwa na ukoo wenu, huwezi kosa kijiji cha jirani coz kabila halikomei mwisho wa ukoo wenu tu. We hujawahi ona watu wanapanda baiskeli kwenda kuchumbia kijiji cha jirani au we hujawahi kuishi kijijini? Embu njoo huku kijijini kwetu usafishe macho!!
 
Sijui wao wanachukuliaje! Ila nahisi watakuwa wanachukulia lazima ndo maana wanajaribu kuforce na wenzao waolewe!!

weye binti ikishafika 30's mwanamke akishaona ambition zake zimekaa vizuri hutaka kuolewa hapo ndo mziki nani akuoe umri huo? Ndo unakuja JF kudhihakiwa kwenye love connect kuolewa na kuoa muhimu kwani alieweka huo utaratibu mungu muumba acheni Uanaharakati
 
mh kuna kaukweli, mie zamani nilikuwa nachagua kweli nilikuwa nataka mwanaume mrefu na awe msukuma... hii kitu ilinipotezea muda sana na hata nilipompata ckufaidi kama nilivyokuwa nategemea
Bantu girl hapa umenichekesha sana!
 

Hiyo ya kujiona daraja la juu ishanikumba, iliniuma sana alafu ikaniacha na roho mbaya sana, nlichukia madem wote! It took me 2 yrs to return to normal!
 
Waoaji wenyewe hatuoi ovyo ovyo basi wadada wengne wana capitalize kwa kukosa wakuwaoa eti kwani kuolewa lazima? We sema umekwama kuolewa na kuoa ni heshima kubwa kwa mwanadamu bado mnapinga? Huu u feminist unakuja kuwamaliza kisaikolojia hasa wasomi masista duu ukija taka olewa ndo utajua kuwa ukipata chance ya ndoa itumie na humu jf mnazuga tu mnapenda kuolewa sema mmekwama au vigezo hamna vya kuolewa...aahaaa ahaaaaa
 

Novelist utopian ideas na uzungu ushakuharibu wewe,just come back to reality kibongo bongo...kama unaishi Tanzania,regardless ni Masaki au Manzese halafu umri wa kuolewa ndio huo halafu ndio hakieleweki,mziki wake sio mdogo....usikompee jamii ya kibongo na za mbele hata kidogo.
 
Fine my dear,am kind of tired of people who think they have the right formula of how we should live our lives.....Blessings to u 2 dear!

I'm tired as well! Wape ukweli. Umenigusa sana!
 

Jifariji mama!Just saying......
 

Hahahhaahhahaha! Pole sana kwa fikra zako za kichovu! Hujui wewe ukimuona hana vigezo vya kuolewa kuna mwenzio anamuona ana vigezo vyote na anamtafuta kwa kila namna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…