Embu kwendeni zenu huko! Kila siku mmekazana kusakama wadada ambao hawajaolewa, hivi hamuwaoni wale mlowatelekeza huko mitaani na watoto? Sijaona hata mmoja akiconfess hapa wengi mnakimbilia kutuhumu, haya na hao mlowatelekeza/ wazalisha watoto halafu mkawaacha wanahangaika huko, mmemuachia nani awaoe? Au ndo kusema nyie watu mnafanyaga mazuri sana? Kwa hiyo mtu ajiforce tu kuolewa eti kisa umri unakwenda na warika lake watakuwa wameshaoa? Msituletee hadithi zenu za abunuasi hapa, kuolewa is not mandatory its an option na haina specific age acheni kukariri!!! Let a person get married when she is read na sio kwa mazoea! Aiyaa......!!!!