Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

Hahahhaahhahaha! Pole sana kwa fikra zako za kichovu! Hujui wewe ukimuona hana vigezo vya kuolewa kuna mwenzio anamuona ana vigezo vyote na anamtafuta kwa kila namna?

kama hana vigezo vya general hata akiolewa ndoa itakuwa disaster na si kuwa wanaume wote ni wenye vigezo vya kuoa la hasha thats why wengine hukimbia family zao wakati alioa akijua majukumu yapo mbele yake
 
Kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi haijalishi kawahi au kachelewa, binafsi sioni sababu ya kuwafanya akina dada waumie kisa hawajaolewa maana ndoa siku inatoa heshima ya siku moja tu baada ya hapo ni kudhalilishwa na kufedheheshwa sasa bora kipi??maana saivi walioolewa wanajuta na wanatamani kutoka.....
 
kuwa mwanaume ni zaidi ya suruali na shati na ile kitu. umemaliza kila kitu hasa hiyo ya kwenda nyumbani sijui wazee wakakuone........ukiiskie lazima kengele ilie kichwani
 

Nimependa ulivoreact kike kabisaaa,waweza kuwa sahihi kwa asilimia isiyozidi 10 juu ya kuwa independent,wanawake wengi wanapenda kujiita independet wakati wakitoswa au kukosa mtu wa kudate nae,nimekutana na wanawake ambao wakati wanaishi peke yao walikuwa wakijisifu kuwa wao ni independent na hawajalajii kuwategemea wanaume,lakini mara baada ya kuingia kwenye mahusiano uindependent wao haumalizi hata mwezi,japo huwa wanajitahidi kuwa na stahili za kuomba ili kujikimu kupitia kwa majamaa zao ooh kama hutajali... Oooh nina kiasi niongezee nipate ...Oooh kama utakuwa kwenye position, Oooh naona nakusumbua lakini... Oooh naona aibu kukuomba... mabo kibao,wizi mtupu. Ningeweza kukupa credit kama ningeweza kupata taarifa huru kwa huyo unayedate naye kama yupo...
 

Kashengo, ndoa zenyewe zipi? Hizi za kisasa? Labda za enzi za babu Asprin ndio za kuugulia.
 
na kuna wasichana kila wakiwa na mtu anatangaza ndoa ila msichana anakuwa hayuko tayari
maisha haya wengine wataka hivi na wengine vile, ila nahisi unapokuwa desperate sana
ndio yanakutokea ya kumwagwa mara kwa mara
 
Agreed,lakini pia mizinga ikizidi wanaume wanaogopa.
 
Kwa kuongezea.. baadhi ya wasichana wanapiga mno Invoice kiasi kwamba wanaume wanawakimbia-haswa hizi vocha! ni kero tupu

Ni kweli kabisa! Nawasikia wakaka, wanavyokereka na wasichana wanaopenda kuwabana kila wakati, wakabaji! Hili ni shida kubwa mno kwa wanawake jamani, tujirekebishe
 


Hili nalo neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Two Tings involved on your thread!!

Either ur a Man or ur a Woman.

If ur a Woman........ ur Safe!!

But if ur a Man...two tings involved...

Jibu kwanza wether ur a Man or a Woman
kisha niendelee....
 
Hivi kwani msichana akifikisha mri gani ndio anakuwa amechelewa kuolewa?????????

Kwani mwanamke akiwa hajaolewa anakuwa amepungukiwa nini hadi iwe lazima kuolewa?

Na sisi tunavigezo vyetu tunaangalia sio tu kisa eti umri umesogea basi niolewe ni mwanaume yeyote anayejitokeza. Hell No!

Alafu wale mnaosema sijui kuolewa lazima hebu tuambie hao dadazenu au ndugu zenu wengine wakike wangapi wameolewa and their unhappy.

Habari ndiyo hii, here we are 30+, hatujaolewa , we have excelled in our careers, we are happy and independent.
 
Biblia katika kitabu cha Mt. Paul inaeleza kwamba ingekuwa vizuri mwamaume ama mwanamke kuishi peke yake ila kama mmojawapo atashindwa kuhimiri mihemuko 'emotion' ni bora ya kuoa ama kuolewa maana itakusababisha kutenda dhambi. Kama umefaulu kwa hilo hongera dada yangu.
 
unaweza usiwe hiv na badi usiolewe unajua kuna watu ni micharuko wanaolewa na wastaarabu wapo tu
 
Lakini kumbukeni wanaume ni wachache, hata wafanyaje, kuna wataokaa bench 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…