Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran mkuu kwa positive comment yako, na nashukuru kwa kuongezea nyama juu ya hio standing order, ni jambo jema sana kwa wale wanaokuwa tempted kutumia pesa wakiiona kwa acc yaoKukumbushana ni kuzuri.
Ninyi ndio member mlonifanya nikaipenda jf maana ni postive tuu na mkikosoa mnakosa haswaaa kwa fact.
Barikiwa sana mkuu
Kwa nyongezaaa sikuhizi unaweza kufungua akaunt kwenye benk flan na ukafanya kitu inaitwa standing order kama sijakosea wao wakawa wanachukua kiasi ulichotaka kwenye account yako ya benk
Pia hizi account zinakuwa na riba flan kwa mwaka
Mkuu shukran sana kwa kutukumbusha
Hahahahah mkuu watu wanashangaza 😂😂 wanakuwaje serious na maisha? Ila Kikubwa tujitahidi kuishi poa, fanya Saving za hapa na pale japo 100k kwa mwezi, wekeza for the future, take care of body and soul and enjoykuna watu mpo serious na hii dunia mnanishangaza sana
Samahani ndugu naomba uweke Salio ficha jina na namba ili unitie moyoHakuna kisicho wezekana mkuu,anza sasa usingoje kesho. Mi nmeanza kusave 250k kila mwezi,kuanzia mwaka 2018..ni pesa ambayo inakatwa moja kwa moja kwenye mshahara baada ya kujaza fomu maalumu Nmb na kuingia kwenye account ambayo siwezi ku access kwenye [emoji763] labda kwa kutolea ndani. Sijawahi kuigusa hyo pesa mpka sasa.
Mkuu hio 100k ukibaki nayo unaweza honga/ tumia kwa vocha tu, ila ukiielekeza UTT wakakuhifandhia (wekaza) after 10 years ukachukua 25M sion kama ni shida, jua hapo hujatoa hata jasho kidogo, ni wew kwenda kwa wakala tu, tena kama unatumia CRDB ni hapo sim Banking kila mwezi umemaliza kila kitu
Mkuu naomba nondo zaidi kuhusu UTT nimekua interested hapo.
Nilikua nafikiria kuweka kama 300k iwe inakatwa juu kwa juu kwenye mshahara CRDB kwa ajili ya akiba.
But naona mnaongelra UTT
Naomba nijue namna gani najiunga, nawekaje pesa, etc
Mkuu naomba nondo zaidi kuhusu UTT nimekua interested hapo.
Nilikua nafikiria kuweka kama 300k iwe inakatwa juu kwa juu kwenye mshahara CRDB kwa ajili ya akiba.
But naona mnaongelra UTT
Naomba nijue namna gani najiunga, nawekaje pesa, etc