"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

Ni mimi Pekee tu nimebaki Mtumishi, ni mimi tu kukuletea habari hizi....

Endelea na huo moyo Kijana, Mungu atakubariki sana... Mwovu shetani ana vishawishi vingi (kama valuu na infidelity)... achana navyo, hayo ni mambo ya dunia tu na yanapita, Mungu anakupenda...:amen:

Hao wengine, wamekwishaipokea thawabu yao... ila nawaweka katika maombi...
 
Sauti ya mtu aliliaye nyikani, itengenezeni njia ya bwana, yanyoosheeni mapito yeke.

Wote semeni Infidelity NO..........AMEN!!!
 
Sauti ya mtu aliliaye nyikani, itengenezeni njia ya bwana, yanyoosheeni mapito yeke.

Wote semeni Infidelity NO..........AMEN!!!

Afadhari bana maana tunakoelekea......... kuna jamaa kaacha mtoto Changarawe pale anaitwa Biology.
 
Naomba niseme mara hii tu, je unakubaliana na hoja yangu ya leo Mhashamu?

Hoja gani... ziko nyingi hapo juu

At least moja tu...

Ngoja nikusaidie Askofu....hoja hii hapa chini!!
......hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....
!
 



oklay baba Mhashamu......:A S 8:
 
Afadhari bana maana tunakoelekea......... kuna jamaa kaacha mtoto Changarawe pale anaitwa Biology.
Duh!!! wapi paroko msaidizi P akaangalie sura!!!
Mtoto huyo na akakue na aone uweza wa Mungu!!!...........Lakini ina maana jamaa alikuwa anasoma PCB au?

Mungu aliyetupenda kwa upendo wa dhati atatusamehe dhambi zetu hata zile zilizo nyeusi kama giza la jehanamu!!
 
Duh!!! wapi paroko msaidizi P akaangalie sura!!!
Mtoto huyo na akakue na aone uweza wa Mungu!!!...........Lakini ina maana jamaa alikuwa anasoma PCB au?!!

Inabidi tufanye mchakato tukampime DNA
Yeah jamaa alimdanganya binti kuwa anaitwa Biology
 
Ngoja nikusaidie Askofu....hoja hii hapa chini!!

Originally Posted by Kaizer

......hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu moja tu!!"

Kimey... Mwanaume mwenye akili timamu HAWEZI KABISA kufanya infidelity....




oklay baba Mhashamu......:A S 8:


Originally Posted by Kaizer

Kama siku hiyo umejikuta kifo cha mende kinakubali, JIACHIE...kama umekuta paka chongo, JIACHIE, ukikuta siku hiyo mzuka upo kwenye mbuzi kagoma, jiachieni kwa raha zenu.....usitake kulazimisha kifo cha mende.....Ukikuta siku hiyo ni mambo ye TEMBELE ndo yanakubali.,,jiachieni....tuepuke kudhani kwamba kuna FORMULA katika ufanyaji wa mapenzi....RELAX and do it accordingly.

Bahati Mbaya chuoni hatufundishwi hii kitu... Kwa hili sina jibu
 
Whatever you were thinking today Kaizer,,,,, pole lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…