🤣🤣 Hata nikisema msaada unao? Umeshindwa kutoa msaada kwe** *** anyway sirushi silaha zangu Baharini Mimi. Labda uendelee kuipumzisha ile🤣🤣Pole mahi 😢
Sina msaada na wewe
Ila mapenzi ujue bado kidogo uvue nguo🤔 Mungu akusaidie sana 😢
aahahahahhahahahahahNimetoka hukoo mtaa wa saba yasemekana nimenyakua bwana wa mtu 😁😁
Polee sana naanza ku feel maumivu yako mtu akikukuna ipasavyo lazima na asipatikane wa kuziba pengo mwisho hua hivi 😢🤣🤣 Hata nikisema msaada unao? Umeshindwa kutoa msaada kwe** *** anyway sirushi silaha zangu Baharini Mimi. Labda uendelee kuipumzisha ile🤣🤣
Umejiupgrade madai yako🤣🤣🤣Hahhaahaha wiki hii ni mwendo wa hennessy tu shindii , nimepumzika kunywa mataputapu😅😅
nimekaribia hebu nipe samare wats goin'onKaribu mdogo wangu🏃♂️🏃♂️
Kuna mtu ana kichaa cha mapenzi anasema kachukuliwa bwana sijui mume 😁😁 alooooonimekaribia hebu nipe samare wats goin'on
Guy guy maumivu 🤣 Mimi ground yangu ilikua simple sana, ila ulivyo turn mpaka imekuakuchukua bwana kweli umewahi sana🤣🤣🤣🤣 mjinga akiwah seat mwerevu hashtukiPolee sana naanza ku feel maumivu yako mtu akikukuna ipasavyo lazima na asipatikane wa kuziba pengo mwisho hua hivi 😢
Pole sana huenda atarudi usikate tamaa😎
🤣🤣Nguvu unazotumia kudefend na kuspread wallah mbona ndio nilikupa 🤣🤣🤣 unamgeukia muuza silaha🤣🤣🤣Kuna mtu ana kichaa cha mapenzi anasema kachukuliwa bwana sijui mume 😁😁 alooooo
Now ni mwendo wa cognac tu , nikitoka hennessy na hamia kwa Courvoisier , ni mwendo wa brand kizungu tu shindii 🤣🤣Umejiupgrade madai yako🤣🤣🤣
sema nini mwanetu,, let it be inatoshaa usibishane tena, ukiweza mpe tu ushindi yaishe,,, hiyo njia alotumia kukufananisha ndo hiyo hiyo atakayo itumia kujua sio wewe vingine jiongeze,, au unapenda ugomvi?Kuna mtu ana kichaa cha mapenzi anasema kachukuliwa bwana sijui mume 😁😁 alooooo
Nimeuona hebu niendelee kusoma taratibu 😅😅, ila JF
Pole meza Panadol dearGuy guy maumivu 🤣 Mimi ground yangu ilikua simple sana, ila ulivyo turn mpaka imekuakuchukua bwana kweli umewahi sana🤣🤣🤣🤣 mjinga akiwah seat mwerevu hashtuki
Huyu mpuuzi siwezi kumuacha na ushindi simpi but now nimechagua kumbembeleza hope atakaa sawa 🤔sema nini mwanetu,, let it be inatoshaa usibishane tena, ukiweza mpe tu ushindi yaishe,,, hiyo njia alotumia kukufananisha ndo hiyo hiyo atakayo itumia kujua sio wewe vingine jiongeze,, au unapenda ugomvi?
🤣 Kwa hiyo I'd? 🤣🤣 Wallah ningebubujikwa machozi Lucas akasome kama ingekua ile I'd .ningejua sasa nimekuza mwana haswa🤣🤣Pole meza Panadol dear
Mimi ni mjinga ila wewe ni mjinga pro
Pole atarudi usijali sawa halafu acha kucheka kwa keyboard huku huko uliko unabubujikwa machozi 😢
Pole utapona kipenzi🤣 Kwa hiyo I'd? 🤣🤣 Wallah ningebubujikwa machozi Lucas akasome kama ingekua ile I'd .ningejua sasa nimekuza mwana haswa🤣🤣
haina haja inatosha, kwenye ule uzi umesema kakufananisha na D alf wew sio huyo mtu kwanini uendelee kubembeleza ili ueleweke?, mi sioni kama kuna faida ya kuchochea ugomvi wakati unajua anae zungumziwa sio wew,, ujue mda mwingine ukimya unasaidia,,Huyu mpuuzi siwezi kumuacha na ushindi simpi but now nimechagua kumbembeleza hope atakaa sawa 🤔
Kama umechoka kuandika kaa pembeni mdogo wangu ulishawahi kuitwa malaya tena PM na kutishiwa maisha ? Huyu akiacwa atazoeahaina haja inatosha, kwenye ule uzi umesema kakufananisha na D alf wew sio huyo mtu kwanini uendelee kubembeleza ili ueleweke?, mi sioni kama kuna faida ya kuchochea ugomvi wakati unajua anae zungumziwa sio wew,, ujue mda mwingine ukimya unasaidia,,
alf dada nimechoka kuandika esse😅 maishakiufupi sipendi kuona watu wanagombana,, unaweza kushangaa huko mwishoni mnakua marafiki wakubwa🤣
mbona umenipush kwa nguvu hivyo😅😅,, sasa kutishiwa maisha PM ndo uogope kiasi hicho jamni,,, nikukumbushe kuwa anaetishiwa maisha ni D na sio S hata mkikutana barabarani hana cha kukufanya maana target yake ni D,,Kama umechoka kuandika kaa pembeni mdogo wangu ulishawahi kuitwa malaya tena PM na kutishiwa maisha ? Huyu akiacwa atazoea
Unanitajia vinywaji hata sivijui🙆♂️Now ni mwendo wa cognac tu , nikitoka hennessy na hamia kwa Courvoisier , ni mwendo wa brand kizungu tu shindii 🤣🤣
🤣🤣 rasmi nimehama kwenye mbegeUnanitajia vinywaji hata sivijui🙆♂️