Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Hapa maphoto sikuyaona ila yaliongelewa, we nenda kwenye ule uzi ucheki movie nzimaNa maphoto yalikuwepo? πΉπΉ
Nitumie pm mahi nisafishe macho π€£
Wengine wa umbea wa selfika nao walikuwepo kwenye uzi, wanaitana kuchochea kuni moto uendelee kuwaka π π , mambo yalikua mengiNimuogopeeee Depal? πΉπΉ
Wee umenijua jana kumbe..!!
Simuogopi na mwenyewe anajua, toka selfika huko kwenye mishengesha yetu wambea tupo nao lele lelee wanavyotupiana makombola na mke mwenzie..!! πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ kwani analiwa yeye analiwa hawara ake..!!
Mimi ni observer tu, nasajili nakaa kimya, huwezi kunikuta naongea sana kwenye hizo nyuzi.alooooππ siku faili langu likivuja naomba mvae miwani yani mpite kimy kimya,, mkithubutu kunicheka Walah mtachagua kusafilisha au kuzikia humu humu JFπ
Nilivyoandika ile warning ulielewa kweli? π€£π€£ Ni sababu ya kuita jina na(name calling) na sio wrong target. I have never miss my shot guy guyyyy.kiufupi Fake kachanganya mafaili kahisi huyo ShesRise_1 ni Depal kumbe kayavagaa, kamtusi huyo dada wa mwanzo halafu D kaja kamwaga yote hadharani kuhusu anayegombaniwa, Fake kakosa maneno na akapewa warning ya kumbully Shesrise.
Lamomy ukiisoma hii comment huu muandiko hauufananishi kweli?Ulisikia jamaniπ€£π€£ Wanazengo ??jiamini wew unijibu kwa ile Id yako bwana π€£π€£π€£ndio nikuambie kati yangu na yule s**t nani analala nje.
Jibu hata kwa like tu na ile I'd π€£π€£π€£ vingenoga sana ili, Nile zangu ban ya Haki bin haki π€£π€£π€£ do me a favor for a while please. Sitakuangusha I promise π€£
Wanaume wapo wengi si wampe hata kaka Lucas asafishe nyota huenda Samuya akamuona ampe ujumbe wa nyumba kumi..!!ππππΉπΉπΉπΉ Mule mule
Hao ndo mabwana wa JF wanatomber hovyo hovyo halafu wanachonganisha wanawake wagombane..!!
Na nyie wadada mkifokolewa si mtulie jamani mpaka mgombane??
Kwa dyudyu gani haswa?
Mnatutia aibu banah..!!
Wanaume wapo wengi si wampe hata kaka Lucas asafishe nyota huenda Samuya akamuona ampe ujumbe wa nyumba kumi..!! πΉπΉπΉ
Mi mwenyewe nipo kibaruani la mamaNaomba kazi
All in all malizaneni pm huko acheni kujidhalilisha humu hakuna kitu mtagain zaidi ya kuonekana kama wajinga tu! Bwana naye ni wa kugombania tena kwa kizazi hiki? Poleni sana..Nilivyoandika ile warning ulielewa kweli? π€£π€£ Ni sababu ya kuita jina na(name calling) na sio wrong target. I have never miss my shot guy guyyyy.
mahilove nipende kukwambia tu tuwaache,, kuna waja washasema huu ugomvi sio wa leo wala jana wakitosheka wataacha,, mwishoe kibao kigeuzwe kwa watoa ushauriπ π ,, mi ugomvi siupendi WalahAll in all malizaneni pm huko acheni kujidhalilisha humu hakuna kitu mtagain zaidi ya kuonekana kama wajinga tu! Bwana naye ni wa kugombania tena kwa kizazi hiki? Poleni sana..
Hahaha watakuwa na vichaa sasa! Wageuze kibao kwa sababu gani? Hebu wajiwashe..!mahilove nipende kukwambia tu tuwaache,, kuna waja washasema huu ugomvi sio wa leo wala jana wakitosheka wataacha,, mwishoe kibao kigeuzwe kwa watoa ushauriπ π ,, mi ugomvi siupendi Walah
haka kakid ni kazuriπ,, π π
imeisha hiyo mzee wa tunguli πUkitaka kama hako niambieπ
Ankal ule uzi uko wapi? Mbona siuoni tena? πΉπΉWanaume wapo wengi si wampe hata kaka Lucas asafishe nyota huenda Samuya akamuona ampe ujumbe wa nyumba kumi..!!πππ
π π π π umepigwa Kofuli kubwaaaAnkal ule uzi uko wapi? Mbona siuoni tena? πΉπΉ
Hawa mimi nataka wanyukane bado hawajamaliza kutoa vinyongo vyao..!! π€£πΉ