Hivi kwani waliendelea nilivyotoka? πΉπΉπΉUlikuja kuchochea moto π, ukiwa mbea usilale
Siku hizi nachoka sana kuuza vijora, kweli natakiwa ku retire umbea..!! πΉπΉπΉUlikuja kuchochea moto π, ukiwa mbea usilale
Acha kabisa mimi nilipitiwa usingizi π, nakuja kuamka sa 8 hivi nakuta mbea umeshafanya yako ππSiku hizi nachoka sana kuuza vijora, kweli natakiwa ku retire umbea..!! πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉπΉ Hao lazima niwarudishe ili nitangaze mshindi..!!Acha kabisa mimi nilipitiwa usingizi π, nakuja kuamka sa 8 hivi nakuta mbea umeshafanya yako ππ
Sasa nataka nilog out kheee!! Zikashushwa Essay hizo nikaendelea kukesha π ππ
Hawa wanavyogombana ndo wanatoa sumu km hujui..!! πΉπΉπΉAcha kuchochea moto
Hebu niendelee kuwa mpenzi msomaji ππΉπΉπΉπΉ Hao lazima niwarudishe ili nitangaze mshindi..!!
Ila huyo bwana ana kitru sio bure kajua kuwagombanisha hiyo milupo yake..!! π€£
ππ sasa inatoka sumu ya CobraHawa wanavyogombana ndo wanatoa sumu km hujui..!! πΉπΉπΉ
kuna mtu mkubwa kabisa na mwenye cheo humu ndani alinisnitch. Amesababisha niwe na paranoia kila mahali ninapokwenda, btw MUNGU amsamehe!Umbea kwa usiyemjua vema..!
Ma snitch!
Hiyo hiyo kmmae wambea tuna miavuli tutajificha tu..!! Wao waziteme πΉπΉπΉππ sasa inatoka sumu ya Cobra
Mambo ni mengi muda mchache ππHiyo hiyo kmmae wambea tuna miavuli tutajificha tu..!! Wao waziteme πΉπΉπΉ
Mtu mzima ukivuliwa nguo, busara ni kuchutama ππNilivyoandika ile warning ulielewa kweli? π€£π€£ Ni sababu ya kuita jina na(name calling) na sio wrong target. I have never miss my shot guy guyyyy.
Wewe kelele zote za nini na inaonyesha bwana hakutaki lakini mahi πΉπΉπΉNilivyoandika ile warning ulielewa kweli? π€£π€£ Ni sababu ya kuita jina na(name calling) na sio wrong target. I have never miss my shot guy guyyyy.
πΉπΉπΉ Wewe team DepalMtu mzima ukivuliwa nguo, busara ni kuchutama ππ
We nae ulikua wapi mda wote hivyo vijora unauza mpka weekend π πHivi wambea wenzangu kweli nyie wa kukosa kunishtua hata kwa simu nije nishuhudie wake wenza wakichambana?? πΉπΉπΉ
Fake P na ShesRise_1 Niwafungulie uzi?
Mimi haya mambo vitu zangu napentraa kweli mahi zangu..!!
Kama mpo online njooni bana tulianzishe shengesha upya..!! π€£πΉπΉ