Binadamu tyna tabia moja in common, kufurahia anguko la mwenzako, kutamani kila mtu apitie shida unazopitia.Tunawaumiza wengine bila kujali
Tunawatuhumu wengine kujua...
Ohoo kama ni ngumu basiEither ways ni ngumu daughter
Binadamu tyna tabia moja in common, kufurahia anguko la mwenzako, kutamani kila mtu apitie shida unazopitia.
Nyeti za Mshana zikiwekwa live hapa watu wataitana na kufurahia wiki nzima, just like that!!
Inasaidia kupunguza msongo na sonona kwa baadhi yetu!!
Umepata kichaka cha kujificha huna lolote 😏 nawezaje kukuingiza kwenye trauma niamini babuu😉We hushindwi, ndio maana nasita kukukagua. Mambo ya Le Kibamiaz nani anayataka.😅
Tuseme nakukimbia basi, naogopa fedheza za uzeeni😅😅😅Umepata kichaka cha kujificha huna lolote 😏 nawezaje kukuingiza kwenye trauma niamini babuu😉
Hii ndio kusema mechi imeisha njee ya uwanja i can't believe 😢Tuseme nakukimbia basi, naogopa fedheza za uzeeni😅😅😅
Ma-ndani wazi😅Mtu wa mpira na yale ya yudizim.
MahandakiMa-ndani wazi😅
Kama yule mwanamama aliyeomba ushauri kuhusu child support! Sijui kama kapona🤦🏽♀️kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza
Hii iliniumiza sana!
Kuna member alipost uzi wake! Alikuwa anauza simu yake ili apate kodi ya nyumba! Alitaja aina ya simu na kiwango
Kuna members walikuja na comments za ajabu na za kuumiza sana
Kuna watu huwa ni wahitaji kweli na wanachoandika ni uhalisia mtupu.. Tujifunze kuwa na tafakuri kabla hatujaandika mitazamo yetu
Ni heri team isiingie kabisa kuliko....unakumbuka tukio la Le Mutuz?Hii ndio kusema mechi imeisha njee ya uwanja i can't believe 😢
Umegoma kuingiza team uwanjani ?
Shuja wa kweli hufia vitani😜
Umewasahau wenye bonge la dushelele na wapiga nyeto.JF ni kama mtaani tu watu waliopo humu ni wale wale waliopo mtaani
1 .Wambeya wako hapa tena kwa jinsia zote Me na Ke
2. Wenye wivu na roho mbaya wako hapa huyu anaweza hata kuchukia jina la I'd yako au avatar au namna una vyoandika : huyu ni kama mgonjwa😁
3. kuna wajuaji hawa wanajua kila kitu mpka unachowaza🤔😁
4. Kuna wenye makasiliko huyu anaweza kukupurupka na kumwaga matusi kama njugu😀
5.Kuna wapenda utani wao mda wote wapo happy 😊 na kufurahi na wengine
6.kuna wanaosoma mada na comment kisha wanapita hivi hawa sio watu wa maneno mengi
7.kuna wapolee tu hata kwa comment zao 🤗
8.kuna Ma genius 👏 akiendika sehemu unasema tawile
9.Kuna wanaojiita wasomi
Wachambuzi wa mambo
10. Kuna vilaza
Vilaza promax
Cha msingi wewe JF unaingia kwa lengo gani ? Ingia ila huepukani na kukutana na watu tajwa hapo juu🤝
Nakumbuka ila una vyoona nafanana na mtu anaeweza kufanya hivyo?Ni heri team isiingie kabisa kuliko....unakumbuka tukio la Le Mutuz?