Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Tambua makosa ambayo walifanya wanasheria wa CHADEMA na wanaharakati na ambayo yanaenda kuwagharimu.
Kwanza kitendo cha Sativa kutekwa na kunusurika na pia baadaye Sativa kumtambua Mafwele miongoni mwa watekaji, [kosa/ushauri]*ilibidi CHADEMA kupitia wanasheria wake na baadhi ya wanaharakati wangeenda kufungua kesi kama walivyofanya wakina Madeleka kule Dodoma kwa mama wa ubakaji au Fatma Kagondo.
Kosa lingine Bon Mayai akakimbilia kuripoti taarifa za utekaji na kushare taarifa za Sativa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kukimbilia mahakamani ambapo wangemmarza nguvu Mafwele na jeshi la police.
Kosa la pili kuhusu Mnyika na Ally Kibao; Mnyika na Bon Mayai kama walipata taarifa za uhakika kuhusu mauaji ya Mzee Ally Kibao baada ya mazishi wangelistaki tena jeshi la police kwa kosa la mauaji.
Pia John Mnyika alivyoitwa police kuhojiwa angeenda.
Ushauri kwa CHADEMA, nendeni mkafungue kesi au Sativa akafungue kesi juu ya kutekwa kwake na kesi afunguliwe Faustine Mafwele, kumbuka Faustine Mafwele kashatajwa kwenye kesi ya Bon Mayai, hivyo wanasheria nao wa CHADEMA wapambane Mafwele aende mahakamani kujibu mashtaka.
NB: Mechi imefika patamu police ni sawa wamejifungulia kesi, au kujishtaki wenyewe pasipo kujijua kwa hiyo Sativa alindwe ili amfungulie mashtaka Mafwele.
Pia ushahidi muhimu ni kitendo cha Raisi kutoa pesa ya matibabu ya Sativa.
Wanasheria naamini mtanisaidia katika andiko langu na hayo ni mawazo yangu tu.