Uchaguzi 2020 Makosa ya CCM Kilimanjaro yatawagharimu Uchaguzi Mkuu 2020

Mm ni mshabiki mkubwa serikali hii lkn kwa wajuaji kama Kilimanjaro sihangaikagi ku-Comment vyovyote itakavyokuwa manake tangu 1995 wao wanaamini Chadema ndo itakayoleta maendeleo.
Peleka upumbavu wako huko maendeleo yanaletwa na mtu binafsi Subir sisiem ikuletee maendeleo ulale usingiz wa pono
 
Kijana wangu pole sana kwa maumivu, Ujumbe huu tayari umemfikia Ndugu Rodrick Mpogolo na Pole pole, Nitumie simu yako katika inbox yangu kwa mawasiliano zaidi.

Nipo Mwanga muda huu lakini nitakuwa Moshi Mjini saa 12.00 jioni Lutheran Hostel. Safari hii hatukubali lazima wapigwe tuu, hakuna namna.

Kwenye uchaguzi huu lazima tupendane kama mapacha, Wajinga mikoa mingine wanatujaza ili sisi tusiwepo meza kuu, 2020 Kilimanjaro meza kuu lazima.
 
Makosa ya CCM Kilimanjaro katika Kura za Maoni yanavyoweza kuwagharimu Uchaguzi Mkuu 2020

Pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally kuonya viongozi wa chama ambao ni wasimamizi kutokuwa na wagombea wao mifukoni, hali imekuwa tofauti majimbo matatu ya mkoa wa Kilimanjaro.

Haya ndo tuliyobaini kwa ufupi na uongozi wa CCM Taifa unaweza kutumia vyanzo vyake kubaini undani wa uchunguzi wetu:

Jimbo la Vunjo
Katika hotuba yake mbele ya mkutano Mkuu wa Jimbo la Vunjo wa kupiga kura ya maoni kuchagua Mbunge, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi Vijijini, Bwana Cyril Mushi alionekana wazi akimpigia kampeni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei.

Bwana Mushi aliwataka wajumbe kumchagua mgombea ‘mwenye uwezo wa kifedha na mali’ akidai itakuwa rahisi kwa mtu wa aina hiyo kuleta maendeleo kitu ambacho ni kinyume kabisa na Kanuni ya Uteuzi wa Viongozi toleo la Juni 2019.

Pamoja na jitihada za Mushi na genge lake kumkingia kifua Kimei, wajumbe walimkataa na tulipoongea nao walitufahamisha kuwa mtu huyu hana ushirikiano mzuri wa wananchi, hapokei simu na hata kabla ya kura ni mtu aliyekuwa na majivuno y wazi kwao kwani wanadai hata kwenye gari lake hashuki wala kushusha vioo.

Mkakati wa Mushi na Katibu wake, Bi Miriam Kaaya kumbeba Kimei uliambatana na mbinu dhaifu ya kudhibiti vyombo vya habari kushuhudia chochote siku ya mkutano. Waandishi hawakushuhudia hata wagombea wakijinadi na hata wajumbe na wagombea walitakiwa kuzima simu.

Jimbo la Moshi Vijijini
Huku nako Bwana Cyril Mushi na Katibu wake Bi Miriam Kaaya walifanya mchezo mchafu wa kumfanyia kampeni za waziwazi Profesa Patrick Ndakidemi. Bibi Miriam alienda mbali na kutafuta baadhi ya makatibu kata wa CCM Jimbo la Moshi Vijijini na kuwapa maelekezo ya kuhakikisha Profesa anarudi kwa udi na uvumba. Baadhi ya makatibu walituvujishia siri hii. Kulikuwa na fungu ambalo Katibu ndiye aliyelishika na kulisambaza kwa wajumbe.

Jimbo la Moshi Mjini
Aliyeongoza katika matokeo ya kura za maoni Ibrahim Shayo ni ‘mtu wa viongozi’. Huyu alikuwa Meneja wa Kampeni ya Mwenyekiti wa Mkoa wa CCM Bwana Patrick Boisafi wakati alipogombea kura za maoni 2015 akashindwa na wakati akigombea Uenyekiti wa Mkoa mwaka 2017.

Mara baada Boisafi kushindwa kura za maoni na Davis Mosha, Ibrahim Shayo na kundi lao walikisusia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Huyu na genge lake pia walikuwa mtandao wa Membe kwani waliaminishwa na RC wa wakati huo, Leonidas Gama (marehemu) kuwa Rais angekuwa Bernard Membe.

Ibrahim Shayo ambaye ameongoza kura za maoni 2020 Ubunge Moshi Mjini ndiye mwaka 2015 yeye na kundi lake walihakikisha wana CCM hawajitokezi kumdhamini Rais Magufuli alipofika kutafuta wadhamini Kilimanjaro. Aliyeokoa jahazi wakati huo ni aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Profesa Faustine Bee ambaye alitafuta wanafunzi makada wa CCM ndio wakamdhamini.

Kibaya zaidi, mwaka 2015 baada ya Patrick Boisafi kushindwa kura za maoni, yeye na kundi lake la wafanyabiashara wakiongozwa na Ibrahim Shayo wakiwa na hasira pia ya kushindwa kwa Membe, walijiweka pembeni na CCM na wakasaidia upinzani. Kwa sasa ndo mshindi wao wa kura za maoni.

Kabla hata ya kura za maoni, Ibrahim Shayo alifanya kampeni chafu na za waziwazi kwa miaka minne na hakuwahi kuitwa wala kukemewa na viongozi.

Kiuhalisia, Shayo ameongoza kura za maoni kwa kufanya kampeni kwa miaka minne na kubebwa na Mwenyekiti na hata Mwenyekiti jana Julai 24, 2020 amesikika akisema ataenda kumtetea Ibrahim Shayo kwenye NEC ya CCM ili jina lirudi.

Makosa haya yaliwahi kufanywa na CCM mwaka 2010 ambapo mwanachama aliyekuwa abakubalika ni Buni Ramole, lakini Mwenyekiti wa wakati huo, mama Vick Nsilo Swai alipewa fungu la Sh10 milioni na akafunga safari kwenda NEC kutetea jina la Justine Salakana lirudi. Matokeo yake Jimbo likaenda upinzani. Shayo hana ushawishi mbele za wananchi, ni wazi watalipoteza tena jimbo.
Haya majungu kama yameandikwa na Pricus Tarimo the Mr Loser?

Thats my best guess!

Regardless,CCM you will lose everywhere!
 
Peleka upumbavu wako huko maendeleo yanaletwa na mtu binafsi Subir sisiem ikuletee maendeleo ulale usingiz wa pono
Mm miaka ya nyuma nilikuwa napitia Nairobi kwenda Mwanza kwa sasa napitia Dodoma Hadi Mwanza kwa barabara ya Lami na bado SGR njia moja Mwanza hiyo yote ni kz ya CCM Nani Kama serikali ya CCM jibu Hakuna......!!!!!zilisikika sauti za watz wote wapenda mabadiliko ya kweli
 
Kwqn
Mm ni mshabiki mkubwa serikali hii lkn kwa wajuaji kama Kilimanjaro sihangaikagi ku-Comment vyovyote itakavyokuwa manake tangu 1995 wao wanaamini Chadema ndo itakayoleta maendeleo.
[/QUOTE kwan hakuna maendeleo,linganisha majimbo ya kilimanjaro na yale ya singida kwa ndugai pamoja na kinq nkamia ukipata jibu baki nalo huko huko
 
Kwa kumalizia hii mada, Kule Same kwa Dr matayo, siha kwa mwandri, na Hai ni madudu matupu .ninashauri mkoa wa Kilimanjaro wale wote waliogombea kura za maoni CCM ,waliopata nafasi za kwanza Hadi za tatu wasiteuliwe ni rushwa tupu ilitumika.pia viti maalum ubunge nafasi ya kwanza Hadi ya tatuwalitumia rushwa tupu.ili kuwapata wagombea Safi kilimanjaro kupitia CCM wajumbe waliopata nafasi ya nne na kuendelea wachunguzwe waoatikane huko wagombea safi.vinginevyochama kitanuka rushwa na kuishia kupoteza majimbo.
Ha ha ha!
Inaonekana wajumbe walikuchana na Wembe.. .!
 
Makosa ya CCM Kilimanjaro katika Kura za Maoni yanavyoweza kuwagharimu Uchaguzi Mkuu 2020

Pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally kuonya viongozi wa chama ambao ni wasimamizi kutokuwa na wagombea wao mifukoni, hali imekuwa tofauti majimbo matatu ya mkoa wa Kilimanjaro.

Haya ndo tuliyobaini kwa ufupi na uongozi wa CCM Taifa unaweza kutumia vyanzo vyake kubaini undani wa uchunguzi wetu:

Jimbo la Vunjo

Katika hotuba yake mbele ya mkutano Mkuu wa Jimbo la Vunjo wa kupiga kura ya maoni kuchagua Mbunge, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi Vijijini, Bwana Cyril Mushi alionekana wazi akimpigia kampeni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei.

Bwana Mushi aliwataka wajumbe kumchagua mgombea ‘mwenye uwezo wa kifedha na mali’ akidai itakuwa rahisi kwa mtu wa aina hiyo kuleta maendeleo kitu ambacho ni kinyume kabisa na Kanuni ya Uteuzi wa Viongozi toleo la Juni 2019.

Pamoja na jitihada za Mushi na genge lake kumkingia kifua Kimei, wajumbe walimkataa na tulipoongea nao walitufahamisha kuwa mtu huyu hana ushirikiano mzuri wa wananchi, hapokei simu na hata kabla ya kura ni mtu aliyekuwa na majivuno y wazi kwao kwani wanadai hata kwenye gari lake hashuki wala kushusha vioo.

Mkakati wa Mushi na Katibu wake, Bi Miriam Kaaya kumbeba Kimei uliambatana na mbinu dhaifu ya kudhibiti vyombo vya habari kushuhudia chochote siku ya mkutano. Waandishi hawakushuhudia hata wagombea wakijinadi na hata wajumbe na wagombea walitakiwa kuzima simu.

Jimbo la Moshi Vijijini
Huku nako Bwana Cyril Mushi na Katibu wake Bi Miriam Kaaya walifanya mchezo mchafu wa kumfanyia kampeni za waziwazi Profesa Patrick Ndakidemi. Bibi Miriam alienda mbali na kutafuta baadhi ya makatibu kata wa CCM Jimbo la Moshi Vijijini na kuwapa maelekezo ya kuhakikisha Profesa anarudi kwa udi na uvumba. Baadhi ya makatibu walituvujishia siri hii. Kulikuwa na fungu ambalo Katibu ndiye aliyelishika na kulisambaza kwa wajumbe.

Jimbo la Moshi Mjini

Aliyeongoza katika matokeo ya kura za maoni Ibrahim Shayo ni ‘mtu wa viongozi’. Huyu alikuwa Meneja wa Kampeni ya Mwenyekiti wa Mkoa wa CCM Bwana Patrick Boisafi wakati alipogombea kura za maoni 2015 akashindwa na wakati akigombea Uenyekiti wa Mkoa mwaka 2017.

Mara baada Boisafi kushindwa kura za maoni na Davis Mosha, Ibrahim Shayo na kundi lao walikisusia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Huyu na genge lake pia walikuwa mtandao wa Membe kwani waliaminishwa na RC wa wakati huo, Leonidas Gama (marehemu) kuwa Rais angekuwa Bernard Membe.

Ibrahim Shayo ambaye ameongoza kura za maoni 2020 Ubunge Moshi Mjini ndiye mwaka 2015 yeye na kundi lake walihakikisha wana CCM hawajitokezi kumdhamini Rais Magufuli alipofika kutafuta wadhamini Kilimanjaro. Aliyeokoa jahazi wakati huo ni aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Profesa Faustine Bee ambaye alitafuta wanafunzi makada wa CCM ndio wakamdhamini.

Kibaya zaidi, mwaka 2015 baada ya Patrick Boisafi kushindwa kura za maoni, yeye na kundi lake la wafanyabiashara wakiongozwa na Ibrahim Shayo wakiwa na hasira pia ya kushindwa kwa Membe, walijiweka pembeni na CCM na wakasaidia upinzani. Kwa sasa ndo mshindi wao wa kura za maoni.

Kabla hata ya kura za maoni, Ibrahim Shayo alifanya kampeni chafu na za waziwazi kwa miaka minne na hakuwahi kuitwa wala kukemewa na viongozi.

Kiuhalisia, Shayo ameongoza kura za maoni kwa kufanya kampeni kwa miaka minne na kubebwa na Mwenyekiti na hata Mwenyekiti jana Julai 24, 2020 amesikika akisema ataenda kumtetea Ibrahim Shayo kwenye NEC ya CCM ili jina lirudi.

Makosa haya yaliwahi kufanywa na CCM mwaka 2010 ambapo mwanachama aliyekuwa abakubalika ni Buni Ramole, lakini Mwenyekiti wa wakati huo, mama Vick Nsilo Swai alipewa fungu la Sh10 milioni na akafunga safari kwenda NEC kutetea jina la Justine Salakana lirudi. Matokeo yake Jimbo likaenda upinzani. Shayo hana ushawishi mbele za wananchi, ni wazi watalipoteza tena jimbo.
Makosa ya CCM Kilimanjaro katika Kura za Maoni yanavyoweza kuwagharimu Uchaguzi Mkuu 2020

Pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally kuonya viongozi wa chama ambao ni wasimamizi kutokuwa na wagombea wao mifukoni, hali imekuwa tofauti majimbo matatu ya mkoa wa Kilimanjaro.

Haya ndo tuliyobaini kwa ufupi na uongozi wa CCM Taifa unaweza kutumia vyanzo vyake kubaini undani wa uchunguzi wetu:

Jimbo la Vunjo

Katika hotuba yake mbele ya mkutano Mkuu wa Jimbo la Vunjo wa kupiga kura ya maoni kuchagua Mbunge, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi Vijijini, Bwana Cyril Mushi alionekana wazi akimpigia kampeni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei.

Bwana Mushi aliwataka wajumbe kumchagua mgombea ‘mwenye uwezo wa kifedha na mali’ akidai itakuwa rahisi kwa mtu wa aina hiyo kuleta maendeleo kitu ambacho ni kinyume kabisa na Kanuni ya Uteuzi wa Viongozi toleo la Juni 2019.

Pamoja na jitihada za Mushi na genge lake kumkingia kifua Kimei, wajumbe walimkataa na tulipoongea nao walitufahamisha kuwa mtu huyu hana ushirikiano mzuri wa wananchi, hapokei simu na hata kabla ya kura ni mtu aliyekuwa na majivuno y wazi kwao kwani wanadai hata kwenye gari lake hashuki wala kushusha vioo.

Mkakati wa Mushi na Katibu wake, Bi Miriam Kaaya kumbeba Kimei uliambatana na mbinu dhaifu ya kudhibiti vyombo vya habari kushuhudia chochote siku ya mkutano. Waandishi hawakushuhudia hata wagombea wakijinadi na hata wajumbe na wagombea walitakiwa kuzima simu.

Jimbo la Moshi Vijijini
Huku nako Bwana Cyril Mushi na Katibu wake Bi Miriam Kaaya walifanya mchezo mchafu wa kumfanyia kampeni za waziwazi Profesa Patrick Ndakidemi. Bibi Miriam alienda mbali na kutafuta baadhi ya makatibu kata wa CCM Jimbo la Moshi Vijijini na kuwapa maelekezo ya kuhakikisha Profesa anarudi kwa udi na uvumba. Baadhi ya makatibu walituvujishia siri hii. Kulikuwa na fungu ambalo Katibu ndiye aliyelishika na kulisambaza kwa wajumbe.

Jimbo la Moshi Mjini

Aliyeongoza katika matokeo ya kura za maoni Ibrahim Shayo ni ‘mtu wa viongozi’. Huyu alikuwa Meneja wa Kampeni ya Mwenyekiti wa Mkoa wa CCM Bwana Patrick Boisafi wakati alipogombea kura za maoni 2015 akashindwa na wakati akigombea Uenyekiti wa Mkoa mwaka 2017.

Mara baada Boisafi kushindwa kura za maoni na Davis Mosha, Ibrahim Shayo na kundi lao walikisusia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Huyu na genge lake pia walikuwa mtandao wa Membe kwani waliaminishwa na RC wa wakati huo, Leonidas Gama (marehemu) kuwa Rais angekuwa Bernard Membe.

Ibrahim Shayo ambaye ameongoza kura za maoni 2020 Ubunge Moshi Mjini ndiye mwaka 2015 yeye na kundi lake walihakikisha wana CCM hawajitokezi kumdhamini Rais Magufuli alipofika kutafuta wadhamini Kilimanjaro. Aliyeokoa jahazi wakati huo ni aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Profesa Faustine Bee ambaye alitafuta wanafunzi makada wa CCM ndio wakamdhamini.

Kibaya zaidi, mwaka 2015 baada ya Patrick Boisafi kushindwa kura za maoni, yeye na kundi lake la wafanyabiashara wakiongozwa na Ibrahim Shayo wakiwa na hasira pia ya kushindwa kwa Membe, walijiweka pembeni na CCM na wakasaidia upinzani. Kwa sasa ndo mshindi wao wa kura za maoni.

Kabla hata ya kura za maoni, Ibrahim Shayo alifanya kampeni chafu na za waziwazi kwa miaka minne na hakuwahi kuitwa wala kukemewa na viongozi.

Kiuhalisia, Shayo ameongoza kura za maoni kwa kufanya kampeni kwa miaka minne na kubebwa na Mwenyekiti na hata Mwenyekiti jana Julai 24, 2020 amesikika akisema ataenda kumtetea Ibrahim Shayo kwenye NEC ya CCM ili jina lirudi.

Makosa haya yaliwahi kufanywa na CCM mwaka 2010 ambapo mwanachama aliyekuwa abakubalika ni Buni Ramole, lakini Mwenyekiti wa wakati huo, mama Vick Nsilo Swai alipewa fungu la Sh10 milioni na akafunga safari kwenda NEC kutetea jina la Justine Salakana lirudi. Matokeo yake Jimbo likaenda upinzani. Shayo hana ushawishi mbele za wananchi, ni wazi watalipoteza tena jimbo.
Bi Marilm sangito Kaaya ni Yule mama aliyepata division zero kidato Cha nne.Hana Cheti Cha kidato Cha nne Ila anayo ajira Safi na dereva wa kumuendesha na ni kilamvba rushwa.Huko kilimanjaro atawatesa CCM sana.sijajua alitumia Cheti kipi kuomba ajira na kupewa huko CCM na kuwa katibu wa CCM wilaya tena wilaya yenye majimbo mawili.
 
Tunapenda kuona ccm ikifa kabisa Kilimanjaro na si vinginevyo.
 
Akirudi unishtue. Sio kwa nyundo hzo. Bado uelewa wa watu mdogo sana kuhusu wajibu wa mbunge na wajibu wa serekali kwa wananchi

Tatizo hao vijana na wa CCM hawajui kutengeneza propaganda zenye uhalisi wao kazi yao Ni mapambio, figisu na kusifia awamu ya tano tu...

Yaan kwa namna hiyo watatokota vibaya Sana ktk kampeni...
 
CCM haifanyii kazi habari na kashfa za mitandaoni
 
Makosa ya CCM Kilimanjaro katika Kura za Maoni yanavyoweza kuwagharimu Uchaguzi Mkuu 2020

Pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais John Magufuli na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally kuonya viongozi wa chama ambao ni wasimamizi kutokuwa na wagombea wao mifukoni, hali imekuwa tofauti majimbo matatu ya mkoa wa Kilimanjaro.

Haya ndo tuliyobaini kwa ufupi na uongozi wa CCM Taifa unaweza kutumia vyanzo vyake kubaini undani wa uchunguzi wetu:

Jimbo la Vunjo

Katika hotuba yake mbele ya mkutano Mkuu wa Jimbo la Vunjo wa kupiga kura ya maoni kuchagua Mbunge, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Moshi Vijijini, Bwana Cyril Mushi alionekana wazi akimpigia kampeni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB, Dkt. Charles Kimei.

Bwana Mushi aliwataka wajumbe kumchagua mgombea ‘mwenye uwezo wa kifedha na mali’ akidai itakuwa rahisi kwa mtu wa aina hiyo kuleta maendeleo kitu ambacho ni kinyume kabisa na Kanuni ya Uteuzi wa Viongozi toleo la Juni 2019.

Pamoja na jitihada za Mushi na genge lake kumkingia kifua Kimei, wajumbe walimkataa na tulipoongea nao walitufahamisha kuwa mtu huyu hana ushirikiano mzuri wa wananchi, hapokei simu na hata kabla ya kura ni mtu aliyekuwa na majivuno y wazi kwao kwani wanadai hata kwenye gari lake hashuki wala kushusha vioo.

Mkakati wa Mushi na Katibu wake, Bi Miriam Kaaya kumbeba Kimei uliambatana na mbinu dhaifu ya kudhibiti vyombo vya habari kushuhudia chochote siku ya mkutano. Waandishi hawakushuhudia hata wagombea wakijinadi na hata wajumbe na wagombea walitakiwa kuzima simu.

Jimbo la Moshi Vijijini
Huku nako Bwana Cyril Mushi na Katibu wake Bi Miriam Kaaya walifanya mchezo mchafu wa kumfanyia kampeni za waziwazi Profesa Patrick Ndakidemi. Bibi Miriam alienda mbali na kutafuta baadhi ya makatibu kata wa CCM Jimbo la Moshi Vijijini na kuwapa maelekezo ya kuhakikisha Profesa anarudi kwa udi na uvumba. Baadhi ya makatibu walituvujishia siri hii. Kulikuwa na fungu ambalo Katibu ndiye aliyelishika na kulisambaza kwa wajumbe.

Jimbo la Moshi Mjini

Aliyeongoza katika matokeo ya kura za maoni Ibrahim Shayo ni ‘mtu wa viongozi’. Huyu alikuwa Meneja wa Kampeni ya Mwenyekiti wa Mkoa wa CCM Bwana Patrick Boisafi wakati alipogombea kura za maoni 2015 akashindwa na wakati akigombea Uenyekiti wa Mkoa mwaka 2017.

Mara baada Boisafi kushindwa kura za maoni na Davis Mosha, Ibrahim Shayo na kundi lao walikisusia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Huyu na genge lake pia walikuwa mtandao wa Membe kwani waliaminishwa na RC wa wakati huo, Leonidas Gama (marehemu) kuwa Rais angekuwa Bernard Membe.

Ibrahim Shayo ambaye ameongoza kura za maoni 2020 Ubunge Moshi Mjini ndiye mwaka 2015 yeye na kundi lake walihakikisha wana CCM hawajitokezi kumdhamini Rais Magufuli alipofika kutafuta wadhamini Kilimanjaro. Aliyeokoa jahazi wakati huo ni aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Profesa Faustine Bee ambaye alitafuta wanafunzi makada wa CCM ndio wakamdhamini.

Kibaya zaidi, mwaka 2015 baada ya Patrick Boisafi kushindwa kura za maoni, yeye na kundi lake la wafanyabiashara wakiongozwa na Ibrahim Shayo wakiwa na hasira pia ya kushindwa kwa Membe, walijiweka pembeni na CCM na wakasaidia upinzani. Kwa sasa ndo mshindi wao wa kura za maoni.

Kabla hata ya kura za maoni, Ibrahim Shayo alifanya kampeni chafu na za waziwazi kwa miaka minne na hakuwahi kuitwa wala kukemewa na viongozi.

Kiuhalisia, Shayo ameongoza kura za maoni kwa kufanya kampeni kwa miaka minne na kubebwa na Mwenyekiti na hata Mwenyekiti jana Julai 24, 2020 amesikika akisema ataenda kumtetea Ibrahim Shayo kwenye NEC ya CCM ili jina lirudi.

Makosa haya yaliwahi kufanywa na CCM mwaka 2010 ambapo mwanachama aliyekuwa abakubalika ni Buni Ramole, lakini Mwenyekiti wa wakati huo, mama Vick Nsilo Swai alipewa fungu la Sh10 milioni na akafunga safari kwenda NEC kutetea jina la Justine Salakana lirudi. Matokeo yake Jimbo likaenda upinzani. Shayo hana ushawishi mbele za wananchi, ni wazi watalipoteza tena jimbo.
Siasa ni kituko Cha Aina yake. Marium Sangito Kaaya kidato Cha nne alipata division zero.Leo msomi Kama Dr Kimei na Prof Ndakidemi wanampigia magoti aliyefeli kidato Cha nne kisa wapate kura wawe wabunge kupitia CCM? Wasomi Hawa Wana PhD Ila mwenye zero anaombewa rushwa Tena anabembelezwa . Watanzania Nani katuloga?
 
Back
Top Bottom